Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,068
- Thread starter
- #21
Ndoa ni ya wawili tuu... Na ndio maana hata pete ni mbili na mkiingia chumbani mko wawili... Kama atakuwepo wa tatu ni Mungu na kama kuna wa nne ni shetani....Dunia yetu ya leo mume na mke wanapaswa kubebana kimaisha panapotokea rabsha.Ninyi viumbe jifunzeni "kuziishi ndoa" kwa hekima sana.
Ukiihubiria dunia changamoto zako za ndoa wewe ni mwananke mpumbavu utakayeibomoa ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe