Anahitaji kujifunza computer excel,word etc yupo Goba.

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
725
1,000
Tunatafuta chuo au popote wanapotoa mafunzo ya computer microsoft word, excel ,graphics kwa angalau miezi mitatu.
Ni F4 leaver wa miaka mitano iliyopita. Anataka kufungua stationary December mwaka huu. Ikiwa Goba, au Mbezi tankibovu au Kawe itapendeza zaidi.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,401
2,000
Tunatafuta chuo au popote wanapotoa mafunzo ya computer microsoft word, excel ,graphics kwa angalau miezi mitatu.
Ni F4 leaver wa miaka mitano iliyopita. Anataka kufungua stationary December mwaka huu. Ikiwa Goba, au Mbezi tankibovu au Kawe itapendeza zaidi.
Weka namba ya simu hapo nikupe vijana Sasa hivi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom