Anafanana sana na ZItto Kabwe!!

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Huyu jamaa anafanana na Zitto Kabwe. Da kweli duniani wawili wawili..

189550_196702270350478_100000321189166_605031_4701528_n%255B1%255D.jpg
 
Umechukuwa hii picha toka Mjengwa Blog unatakiwa uonyeshe source! Ni picha ya Zitto kapigwa kama siku tatu zilizopita. Mbali na kuwa Mbunge Zitto ni binadamu na mtanzania anayetakiwa kuishi maisha halisi ya Bongo. Big Up Zitto
 
Sasa big up ya nini na wewe hapo? taarifa hapo ilikuwa ni huyu ni Zitto na source kwani mtoa mada kasema viongozi hawaishi maisha ya kawaida ? kapaka mahali, kichwa ka jiwe haaa looo !
 
umechukuwa hii picha toka mjengwa blog unatakiwa uonyeshe source! Ni picha ya zitto kapigwa kama siku tatu zilizopita. Mbali na kuwa mbunge zitto ni binadamu na mtanzania anayetakiwa kuishi maisha halisi ya bongo. Big up zitto

si ndo hapo,,, watu wana make a big deal out of it...
 
Back
Top Bottom