Kwa kuchoma tu, mnajitahidi!!!!!!!!
Ilumbuye Kaunga wape vidonge vyao...............wakaka tunamizigo ya mbele.............wadada wameibeba chini ya mgongo sasa wachague wenyewe..............kuna msemo unasema ....mzigo mzito mpe mnyamwezi
Msitusingizie bwana! Tena mtuache tupumue.
Haki ya nani wanyamwezi wanawake ni habari nyingine!!!! Mafiga matatu na zaidi ni lazima hasa kama perfomance yako ni poor utaona kila rangi!!! Limbata lao (jina limenitoka) ni balaa sana!! Akikuwekea hili utahama kwenu na utahamia kwao na utajenga huko huko nikimaanisha wanakupa na shamba kabisa!! Chezea weye!!
Wee Mnya Kikungu, kwanza heri ya Mwaka Mpya. Sijui umepotelea wapi maana sijakuona kitambo.
Huo Msemo ulikuwa karne ya 21 Mami, eti Mzigo mzito mpe Mnyamwezi.
Karne ya 21 Wanyamwezi tumebadilika na kusema "Mzigo Mzito anao Mnyamwezi" au sivyo Sister Kaunga ?
Smile dada, Wasukuma wakicheza Ngoma, mwisho wanawakimbiza akina dada na kuwaambia "Chagulaga mwana Mayu" ikiwa na maana "Chagua dada". Sasa Makaka wa Kinyamwezi ndiyo tumeshajaa kibao, kazi kwako na CHAGULAGA.
Mambo ya Mafiga Matatu (Mabwana watatu) ni mambo ya Pwani hasa Wazaramo, Wamakonde na ndugu zao.
Dada zangu wa Kinyamwezi hawana upuuzi huo. Angalia maneno unayoandika hapa JF maana ninaweza kukutokea huko kwako usiku kwa mwendo ya Gangnam Style...
Hey Mdogo wangu, kwanini mnajificha yaani mimi nilijua wadada wa kinyamwezi wavivu wa kuingia JF.
Unajua nini, kwakuwa tunajua kuwashika wanapotaka kushikwa ndio maana watu wengine (hasa wadada) wanaona si bure ni limbwata.
I wish ningekuwa naijua hiyo limbwata ninngempa mdada mmoja halafu nimruhusu boy wangu aende kwake na akinogewa ruksa kuhamia.
Msitusingizie bwana! Tena mtuache tupumue.
Hey Mdogo wangu, kwanini mnajificha yaani mimi nilijua wadada wa kinyamwezi wavivu wa kuingia JF.
Unajua nini, kwakuwa tunajua kuwashika wanapotaka kushikwa ndio maana watu wengine (hasa wadada) wanaona si bure ni limbwata.
I wish ningekuwa naijua hiyo limbwata ninngempa mdada mmoja halafu nimruhusu boy wangu aende kwake na akinogewa ruksa kuhamia.
Wale wale, Tabora mjini imejaa WAKUJA na si WANYAMWEZI. Wee umepiga Waha wa Ujiji waliojaa kibao hapo mjini. Kama si hao basi Wakimbizi wa Kitusi wanaojibadili majina na kuwa na ya Kinyamwezi. Waswahili wa Pwani nao kibao ndiyo maana wanagawa kama pipi watoto wao. Angalia usije kuwa ulizaa na nduguyo, mtu wa Pwani weee.....
Mimi ni Sikonge, Ipole. Tujuane Mdogo wangu, tuchat kesho PM.Ulijuaje dada hapo kwenye blue? Tunatangazwa wachawi kwa vile tu ni full mautundu!!!!
Hapo kwenye red nina hakika hilo haliwezekani. Aanze tu kujikuta ananogewa! THUBUTUUUU!!!!
Tuko kamili kila idara, phenotype mpaka kauli. Hatupori sisi,mtu anatoa mwenyewe kwa hiyari yake kila anachoombwa.
Mimi wa Urambo dada.
Kumbe kuna wanyamwezi wa kutosha humu!!!
mlivonivagaa kama nyuki.......
Wamanyema wapo juu, wanatesa pia Kigoma (Ujiji wamejaa) na Tbr mitaa ya ng'ambo, bachu, na kanyenye. Wazuri kwa sura, umbo na mapenzi.Wamanyema je? Wanasumbua sana mujini hapa? Chezeya wamanyema nyie? Nipeni sifa zao kidogo!
Mimi ni Sikonge, Ipole. Tujuane Mdogo wangu, tuchat kesho PM.