wende
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 714
- 67
Hivi kuna mrembo hapo!
Aiseee,ata mi nashangaa,,,,,,,,,hao ni wakongwe kwelikweli...
Hivi kuna mrembo hapo!
Wananiudhi mikorogo :shetani:
Sio bonita wala nini,wa kawaida tuHuyo hapo juu mwenye nywele kama amepigwa shoti ya umeme ndio tena huyu hapa chini kavaa "hawa mke wa adam"?
Mzee Majuta husema hivi IN'YE![]()
(Picha kwa hisani ya Mchonga)
Naomba anawajua hawa warembo wa Bongo atupe majina yao