Ni rahisi nyeupe kuwa nyeusi lakini sio nyeusi kuwa nyeupe Aisee huu mbinyo umewafanya wakimbie kama kuku alokatwa kichwa ,huzani anapokimbia ndo anakimbia kifo kumbe ndo tayari kishamkabili.
Nyie wazee wa buku Saba unaoshupaza shingo kuwa ripotiya CNN Ni yakupuuzwa tunaomba na nyie mtuletee ya kwenu,. December 9 nitakuwepo
Nyie wazee wa buku Saba unaoshupaza shingo kuwa ripotiya CNN Ni yakupuuzwa tunaomba na nyie mtuletee ya kwenu,. December 9 nitakuwepo