Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,274
- 10,838
Embu kwanza nicheke
Yani ni kituko kama unaangalia sinema za Dj mack
Uzi tayari
Yani ni kituko kama unaangalia sinema za Dj mack
Uzi tayari
ACHA KUANGALIA TBC AKILI YAKO ZITARUDI UTOTONIEmbu kwanza nicheke
Yani ni kituko kama unaangalia sinema za Dj mack
Uzi tayari
Hivi unajielewa Kwel au ndo umelewa?Hapo kunavitu viwili kuna Chombo mfano TBC yawezekana warusha HD lets say 1280x720 kwenda kwa Azam au Startimes nk .. Ila Ikawa Azam na Startimes wakawa hawarushi HD wakififisha SD 720x480
HD ni format ya 16:9Embu kwanza nicheke
Yani ni kituko kama unaangalia sinema za Dj mack
Uzi tayari
Hamna kitu pale naangalia mpira Azam tv nikiweka TBC naona ukungu kama kama uwanja umejengwa kwenye tanuli la mkaa hyo mimoshHd
HD ni format ya 16:9
Channel za HD ni chache na zimeainishwa sio zote ni HD.Mimi natumia Hisense na kisimbuzi cha Azam tv mbona pichabhazina mng"ao ?
Je Azam wana FHD au 480/720P?
Azam one na sport HD oamoja na ile inayoonyesha thamthiliya la Kituruki kidogo afadhali.Channel za HD ni chache na zimeainishwa sio zote ni HD.
Channels za Azam tu ndo HD Tanzania yote wengne wote matapeliMimi natumia Hisense na kisimbuzi cha Azam tv mbona pichabhazina mng"ao ?
Je Azam wana FHD au 480/720P?