Nilianza kucheka ila kufika hapa nikajikuta nacheka kwa sauti zaidi,abarikiwe aliye anzisha jf,hahahaaaaaaaaaa
Dah..halafu anafanana kweli na prezda aliyebwagwa hivi majuzi.
nasikia amesutwa sana sasa hajui aelekee wapi,kila kona ana maadui
Anaenda kwenye kigodoro
Anaenda kwenye kigodoro