Anadhani aki-post atanishtua

Ni udhaifu wa wanawake wengi kutumia status na fb stories kuwakomoa walioachana nao...

Block her everywhere.
 
Nimecomment kukutukana ila nikafuta. Sema ni utoto wa akili, mwaka jana nami nilichangia uzi flani wa kitoto wakanishushua nikajiona boya sana. Miaka mitatu baadae utaona hizi nyuzi zako ujione ulivyokuwa fala yani unaita wafu JF kuwaeleza 'dogo' alivyokupiga kibuti uko Facebook
 
Asalaam,

Kuna Uzi wangu nliupost huko nyuma ukisomeka... Nimekataliwa kisa mwanachuo...

Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha.
Kwa muandiko huu ni dhahiri una maumivu makali sana.
Pole ndio ujana
 
Sawa nitabadirika
 
Ni udhaifu wa wanawake wengi kutumia status na fb stories kuwakomoa walioachana nao...

Block her everywhere..
Niki mmblock ataniona Niko affected na kile anafanya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…