Anadai Mimi sio type yake

Anadai Mimi sio type yake

Tafuta material women ukiona mwanamke anaanza kukupa pressure hata ukimweka ndani anakuwa cubic ya apob wali
 
Anapenda Sana Hela.Nikiwa nazo anajileta kwangu tukalale wote.

Nisipokuwa nazo Anadai Mimi sio type yake.

Nikiwa nazo Anadai anataka nimnunulie pochi nzuri, suruali nzuri , gauni nzuri, wigi nzuri, high heels nzuri, anataka vitu vizuri vizuri tu.

Nikifulia nashangaa ananikimbia haonekani.Ananifanya akili yangu iende mbio mbio race.

Wanawake sio vizuri unampenda mtu kisa ana Hela akikosa unamkimbia.

Tukiwa hatuna Hela mnadai sisi sio type yenu
Na ulivyo mjinga bado unamkubalia tu?
 
Ooops! One man down [emoji27]
 
Mkuu mbona manung`uniko kama mtoto wa yatima...

Unaanza kumaindi demu akikukimbia wakati huna hela?
Kwanza hisia za mapenzi unazitoa wap ukiwa huna hela?
TAFUTA HELA,Punguza maombolezo
 
Tulishajadili hili kwenye kikao cha wanaume haya ndo madhara ya kudoji
 
Wanawake hata hawana shida. Mwenye shida ni wewe usiyetambua thamani yako.
 
Sasa kinachokuliza ni nini? Kila shetani na mbuyu wake
 
Back
Top Bottom