Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

Demu huyo hapendi pesa anachohitaji kwa sasa kuwa na mtu mwenye status sasa sijui una usafiri au unafanya kazi gani
 
Jaman tufike sehmu tujue kwamba so kila mwanamke anaweza kuyumbishwa wengine n wana misimamo na wanaangalia wanakoenda kwa mtu anayejitambua kama anamtu wake hata ungeonga kampuni msimamo wake uko palepale nakushauri tu kubal kwamba imeshindikana tu afu n mm hapa ko nakushaur tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiri kwanza sijawahi kupenda kabla.

Sasa nimekatika #blackninja kuna Dada nimetokea kumpenda sana tatizo ni anadai ana MTU wake.

Mabaharia mliushindaje huu mtihani?

NB: Nampenda sanaa
Tena ukipata mtu ambaye amekuwa mkwel inabid umshukuru Mungu sema tatzo la wanaume wengi ukimwambia nna mtu haamini an

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kakwambia ana mtu wake unauliza njia tena .....mkuu shukuru umeambiwa ukweli vinginevyo ungechunwa uachwe ....mwache na mtu wake tafuta wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshakuambia ukweli mkuu! Usilazimishe kabisaaa utakuja kuumia!
Mshukuru Mungu kakwambia ukweli! Mwingine angekudanganya
 
Nikiri kwanza sijawahi kupenda kabla.

Sasa nimekatika #blackninja kuna Dada nimetokea kumpenda sana tatizo ni anadai ana MTU wake.

Mabaharia mliushindaje huu mtihani?

NB: Nampenda sanaa
Hivi kuna mtu ambaye hana mtu? Wewe komaa naye yeye au unamtaka mtu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…