Haujamsikia mengine aliyoyasema hao aliongea nao last year pia walifanyaje hao!!!
ni wavivu tu, mazoea mabaya acha awaamshe wajielewe.
Video clips zingine hizo chini uone hata bosi wa elimu mkoani alikuwa anazembea tu
Hivi yeye ilikuwaje akapata fa fa fa fa fa fa fa sipati picha hasira alizonazo kwa afisa elimu wa kolomoje wa kipindi hicho
Mkuu nenda kasome majukumu ya mkuu wa mkoa kwenye katiba halafu urudi tena hususan ni nani BOSI wa maafisa ElimuEti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,
Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?
Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!
bila shaka umetoka kanda kama sio mkoa mmoja na makondaAlipata kwenye ulimwengu wenu mnaoujua ninyi.
Mwacheni kiongozi jembe apige kazi, tena wananchi wengi mnampenda sana sanaaaaaa. Ila wivu unawasumbua shaaaaaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeeeee
....Unajitahidi kweli kwenye hii kazi ya kupuliza vuvuzela, ngoja tusubiri kama kuna DED, DAS atakayepigwa panga tuongee na mshua.Alipata kwenye ulimwengu wenu mnaoujua ninyi.
Mwacheni kiongozi jembe apige kazi, tena wananchi wengi mnampenda sana sanaaaaaa. Ila wivu unawasumbua shaaaaaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeeeee
Alipata kwenye ulimwengu wenu mnaoujua ninyi.
Mwacheni kiongozi jembe apige kazi, tena wananchi wengi mnampenda sana sanaaaaaa. Ila wivu unawasumbua shaaaaaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeeeee
Tena wenye vyeti halali. Huyu jamaa hana aibu kama mwoga nje.Anazungumza na Maofisa elimu kama watoto wadogo.
Bro...umekosa hekima
No...huyu ni bashite mwenyewbila shaka umetoka kanda kama sio mkoa mmoja na makonda
inamaana siku zoote wakati wenzako wanapiga kelele juu ya huyu MTU hukuamini,uliwaona wenzio mataahira..,mpaka imekutokea ndo unalaumu....Anazungumza na Maofisa elimu kama watoto wadogo.
Bro...umekosa hekima
Usiku na mchana hulali kwa sababu ya fa fa fa fa.Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,
Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?
Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!
Makonda oyeeeeeeeee
Ukitaka upendwe wewe?Hebu fikiria kilaza asiye na akili wala cheti eti ndiye bosi wa wenye vyeti na akili zao...ni Tanzania tu. Watu aina hii anawapenda sana Mh. Rais, sijui ni kwa nini!
Chama cha mapinduziAlipata kwenye ulimwengu wenu mnaoujua ninyi.
Mwacheni kiongozi jembe apige kazi, tena wananchi wengi mnampenda sana sanaaaaaa. Ila wivu unawasumbua shaaaaaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeeeee
Hata kuvamia clouds nayo ni kazi.Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,
Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?
Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!
Makonda oyeeeeeeeee