cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,778
- 73,523
Atakuwa anawapakata dada zako ndio maana
Atafutwe maramoja awe wa mfano kukomesha tabia hiiMleta maada utakuwa mnafiki na masikini sana. Na akili huna
Zero brain kama Bashite
out of points go back to ChurchHakuna Mtu amewahi kupigana vita dhidi ya watumishi wa Mungu akabaki bila laana.
Kitu kinachompa kiburi cha kuwadharau watu ni kwavile amepata kibali machoni kwa Baba na anaendelea kusimama mkono wa kuume kwa Baba.
Hiyo "wig" yako unapoiweka kwa mkichwa tumia super glue.
Ulisema hufungui links. Nimegundua unapenda links za udaku. (shilawadu) kama mkulu.
Timua wote hawa mkuu kuanza upya si ujinga mgomba haushindwi na mkungu, nawale wote wasio tangaza habari zao siku zao zinahesabika pamoja sana huwez pendwa na wote wala chukiwa na wote Hapa Kazi Tu 2020 Wewe au GamboAnazungumza na Maofisa elimu kama watoto wadogo.
Bro...umekosa hekima
Uongozi ni kipaji wewe.Mbona huko mitaani viongozi wetu wa mashina/Serikali za Mitaa wenggine ni STD seven na wanaongoza hadi Maprofessa?Hebu fikiria kilaza asiye na akili wala cheti eti ndiye bosi wa wenye vyeti na akili zao...ni Tanzania tu. Watu aina hii anawapenda sana Mh. Rais, sijui ni kwa nini!
Na amewapa karatasi ya rim...duhnilitamani kusikia akisema ivi "mimi nimepata zero so sitaki tena zero kwenye huu mkoa wangu" cha ajabu anakomalia statement ya maafisa elimu wake waandike barua ya kuacha kazi
Kweli aisee, inatokea Tanzania, yaani Mbowe anaongoza Profesa na wanasheria wasomi na wote wanafyataHebu fikiria kilaza asiye na akili wala cheti eti ndiye bosi wa wenye vyeti na akili zao...ni Tanzania tu. Watu aina hii anawapenda sana Mh. Rais, sijui ni kwa nini!
Juzi hiyo....Hivi ni kweli jana vilema wamepigwa na polisi? mbona sioni watu wakizungumzia hilo humu.?
Mleta mada na wewe pia mna IQ ndogo sana zaidi mnatawaliwa na chiki,fitina,vivu na ujinga uliokubuhu na uwezo wenu kiongozi haufai hata kuwa mabalozi wa nyumba kumiHebu fikiria kilaza asiye na akili wala cheti eti ndiye bosi wa wenye vyeti na akili zao...ni Tanzania tu. Watu aina hii anawapenda sana Mh. Rais, sijui ni kwa nini!
Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,
Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?
Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!
Makonda oyeeeeeeeee
Update: maneno aliyoandika mwanzoni ambayo ameyafuta yalinipelekea kuandika niliyoandika, kwahiyo ndivyo ilivyokuwa na ujumbe naona alielewa sio lugha za kumuongelea mtu na haswa kiongozi hivyo.
Video clips zingine kwa post hii bonyeza mkuki uende
Haya ndiyo madhara ya kupata zero darasani maana anabwabwaji bila kuzingatia utuAnazungumza na Maofisa elimu kama watoto wadogo.
Bro...umekosa hekima
Unaweza kuwa na taaluma lakini bado ukawa mjinga unayepaswa kuongozwa.Na kwa taarifa yako elimu sio uongozi. Makonda chapa kazi wengi wanadaresalaam tunakuunga mkonoVyeti feki lazima awe na hasira na wataaluma.Mjinga sana huyu.Hana hata chembe ya adabu