Anachokifanya Komu ni 'kichekesho cha kisiasa'

Komu ameshaaga kuwa anaenda Nccr mageuzi na kinachombakiza bungeni ni wapiga kura wa Moshi vijijini siyo Chadema.

Maana yake ni kuwa Anthony Komu anawasubiri Chadema wakachukue kadi yao kama wanaihitaji.

Mbowe hawezi kumtimua mbunge hilo nakuhakikishia, alikuwepo Shibuda bhana alikuwa anainanga Chadema bungeni na yeye akiwa mbunge wake lakini hawakuthubutu kumtimua kwa sababu za kimapato!
Wewe binti kwa majungu na umbea haujambo. Mwanaume atakayeepata bahati mbaya ya kukuchumbia, nampa pole.
 
Komu yupo kimaslahi zaidi na siyo kuwatumikia wananchi wake walio mchagua ambao kimsingi amesha jua kuwa hawatomchagua hata akiwania kwa nccr magruzi
Ukweli lazima usemwe. Kila chama cha siasa kina sera, itikadi na Imani yake. Wanachama hujiunga kwa kuvutiwa na kuwa tayari kufuata mambo hayo. Kuhama chama ni kutotaka tena kufuata mambo hayo. Kisiasa, kibinaadamu na kijamii, kuhama chama ni haki ya kila mwanachama na mwananchi wa nchi hii. Lakini, kuhama chama hakupaswi kutanguliwa na 'vishekesho vya kisiasa'.

Kitendo cha Mbunge wa Moshi Vijijini, Mhe Komu kutangaza kuwa atahama CHADEMA na kujiunga na NCCR-Mageuzi baada ya Bunge kuvunjwa ni kichekesho cha wazi cha kisiasa kinachoonyeshwa na mwanasiasa huyo nguli wa siasa za kiupinzani na kimapinduzi nchini. Iko wazi kuwa ameshaamua kuhama CHADEMA. Hana tena chochote na cha namna yoyote na CHADEMA. Hana hata cha kungoja.

Kichekesho cha Komu kina sura mbili. Moja, anataka ajadiliwe na afukuzwe CHADEMA. Ni kwakuwa ameshaamua kukihama chama hicho lakini bado 'anang'ang'ania' kuwemo. Atafaidikaje? Mbili, Komu ataendeleaje kuwa Mbunge wa chama ambacho tayari ameshatangaza kukitoka na haamini chochote tena cha chama hicho? Mbunge Komu aache kuendelea kutuchekesha wafuatiliaji wa siasa hapa nchini.

Uamuzi utakuwa umesoma ramani nzima yakiwemo ya mafao yake ya kibunge. Kama hakufanya hivyo na ana hofu ya kuyapoteza, atakuwa hajaamua vyema.

In God we Trust
 
Kinachokisema kichekesho ni yeye kutoondoka na kuahidi kufanya hivyo siku zijazo. Kwanini asiondoke muda huu hadi labda afukuzwe CHADEMA? Namheshimu sana Komu na kamwe siwezi kumuita kichekesho kama ulivyosema. Najua alikuwa NCCR na anarejea huko.

Angekaa kimya, na angeondoka wakati CDM ishamteua kugombea ubunge ungekuwaje?
 
Juzi nimepita mwandiga kwenu nimekuta kibanda cha wazee wako kimebomoka sababu ya mvua
Nizamu ya kuumana Wenyewe kwa Wenyewe
Ubaguzi wenu Utawalamba mpaka mkome
Maana Mnajiona nyie ndio kila kitu nchi hii

In God we Trust
 
Wacha kuwaya waya wewe na njaa zako
Na hayo umeyaona baada ya kusema atatoka chadema?

Tukiwaambia humu kwamba wabunge wa chadema waoneshe mfano kwenye majimbo yao walichofanya, mnakuja hapa mkizungusha mikono kwamba chadema haikusanyi kodi.

Ni upuuzi mtupu bora ccm iendelee kutawala tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
hili ni moja ya jibu kwa nini Chadema haina ofisi. Huyu akili ndogo ndo alikuwa Mkurugenzi wa Fedha
 
Wewe binti kwa majungu na umbea haujambo. Mwanaume atakayeepata bahati mbaya ya kukuchumbia, nampa pole.
Kumbe na wewe umemstukia eh, hiyo ni mashine ya umbea
IMG-20200211-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyu anawadhihaki Chadema; wamfukuze wasimfukuze mafao yake atayapata tu? Pengine hata amesjayapata kwa kitendo tu cha kutangaza kwamba ameamua kuhama!
 
Ukitaka kufanya mambo ya hovyo na usijisikie Aibu Kwa uhovyo wake, basi kuwa mwanasiasa njaa
 
Ukweli lazima usemwe. Kila chama cha siasa kina sera, itikadi na Imani yake. Wanachama hujiunga kwa kuvutiwa na kuwa tayari kufuata mambo hayo. Kuhama chama ni kutotaka tena kufuata mambo hayo. Kisiasa, kibinaadamu na kijamii, kuhama chama ni haki ya kila mwanachama na mwananchi wa nchi hii. Lakini, kuhama chama hakupaswi kutanguliwa na 'vishekesho vya kisiasa'.

Kitendo cha Mbunge wa Moshi Vijijini, Mhe Komu kutangaza kuwa atahama CHADEMA na kujiunga na NCCR-Mageuzi baada ya Bunge kuvunjwa ni kichekesho cha wazi cha kisiasa kinachoonyeshwa na mwanasiasa huyo nguli wa siasa za kiupinzani na kimapinduzi nchini. Iko wazi kuwa ameshaamua kuhama CHADEMA. Hana tena chochote na cha namna yoyote na CHADEMA. Hana hata cha kungoja.

Kichekesho cha Komu kina sura mbili. Moja, anataka ajadiliwe na afukuzwe CHADEMA. Ni kwakuwa ameshaamua kukihama chama hicho lakini bado 'anang'ang'ania' kuwemo. Atafaidikaje? Mbili, Komu ataendeleaje kuwa Mbunge wa chama ambacho tayari ameshatangaza kukitoka na haamini chochote tena cha chama hicho? Mbunge Komu aache kuendelea kutuchekesha wafuatiliaji wa siasa hapa nchini.

Uamuzi utakuwa umesoma ramani nzima yakiwemo ya mafao yake ya kibunge. Kama hakufanya hivyo na ana hofu ya kuyapoteza, atakuwa hajaamua vyema.
Asubiri kwani Chadema wapo wenye akili zaidi yake wanamwangalia tu atashangaa anafukuzwa miezi miwili kabla ya kuvunjwa bunge. Hapo sasa cjui hayo mafao atayapata kwa kupitia nccr
 
Ukweli lazima usemwe. Kila chama cha siasa kina sera, itikadi na Imani yake. Wanachama hujiunga kwa kuvutiwa na kuwa tayari kufuata mambo hayo. Kuhama chama ni kutotaka tena kufuata mambo hayo. Kisiasa, kibinaadamu na kijamii, kuhama chama ni haki ya kila mwanachama na mwananchi wa nchi hii. Lakini, kuhama chama hakupaswi kutanguliwa na 'vishekesho vya kisiasa'.

Kitendo cha Mbunge wa Moshi Vijijini, Mhe Komu kutangaza kuwa atahama CHADEMA na kujiunga na NCCR-Mageuzi baada ya Bunge kuvunjwa ni kichekesho cha wazi cha kisiasa kinachoonyeshwa na mwanasiasa huyo nguli wa siasa za kiupinzani na kimapinduzi nchini. Iko wazi kuwa ameshaamua kuhama CHADEMA. Hana tena chochote na cha namna yoyote na CHADEMA. Hana hata cha kungoja.

Kichekesho cha Komu kina sura mbili. Moja, anataka ajadiliwe na afukuzwe CHADEMA. Ni kwakuwa ameshaamua kukihama chama hicho lakini bado 'anang'ang'ania' kuwemo. Atafaidikaje? Mbili, Komu ataendeleaje kuwa Mbunge wa chama ambacho tayari ameshatangaza kukitoka na haamini chochote tena cha chama hicho? Mbunge Komu aache kuendelea kutuchekesha wafuatiliaji wa siasa hapa nchini.

Uamuzi utakuwa umesoma ramani nzima yakiwemo ya mafao yake ya kibunge. Kama hakufanya hivyo na ana hofu ya kuyapoteza, atakuwa hajaamua vyema.
Hapo ndipo siasa za nchi yetu zilipofikia...matumbo kwanza mengine baadae!!
 
Nadhani huyu ni shujaa wa kwanza Tz katika mambo ya kisiasa kwani amechukia Chadema kiasi kwamba hata kukosa maslahi yake aliyotumikia miaka 5 hakuona shida. Alipojaribu angalao kungojea tena 4 months kwake ikawa uchungu wa moyo akiwaona Chadema karibu naye. Akaamua kuyatosa baharini. Wadhani hajui kuwa hatapata kitu tena??
Muombeeni akute hajapumbazwa kwa uganga
 
Back
Top Bottom