Anachokifanya Komu ni 'kichekesho cha kisiasa'

Petro kwa nini anataka kuhama? mbona muda wote huwa hatutaki kujua au kuuliza hawa watu kwa nini wanahama?

haujawahi kuwa chadema iko hivi

Chadema wakikuchukia na lile kundi la Mbowe likikuchukia/-LINAKUTENGA, LINAKUSEMA, LINAKUSUTA, LINARUSHA VIJEMBE, Unachukiwa kila kitu na unaonekana kama trash kwao.
Reactiona za hao wanaohama, zinaweza kuwa mbaya zaidi kuliko hii, bahati mbaya huwa hatuoni upande wa pili TUNAANGALIA MATOKEO TU

Komu either utamuita kichekesho au la, bado anabaki kuwa ameifikisha chadema hapo ilipo; wengine wanaenda CCM, wengine wanaondoka kwa matusi makubwa na ILITARAJIWA aanike uozo wa matumizi ya fedha yote, maana kawa bwana fedha wa CDM for 15 years

Kweli Petro unaona ni rahisi sana mtu kama huyo kuhama tu bila sababu?? bila kuwa kadharauliwa??

Kuna wanawake mtaani huwa wanaachwa na kutaka kugongwa na magari, na wengine kulewa na wengine kufanya vitu vya kupuuzi, HATA wanaume pia

kwa any reaction ya KOMU either iwe kichekesho, kisaikolojia ni kuwa he is not on his senses, nani kamfanya awe hivyo? nini kinaendelea chadema? who is next??

Bahati mbaya mnaijiita wachambuzi! hamuangalii cause
 
Kwani ww unajua maaana ya ruzuku
Ndio, wabunge wa Chadema waliohamia CCM wamefanya ruzuku ya chama Dume iongezeke na kufikia zaidi ya sh 13 bilioni kwa mwaka.

Inapoongezeka CCM ya Chadema inapungua ndio maana Mbowe hawezi kabisa kumfukuza Komu na Anthony analijua hilo vizuri ndio maana hana wasiwasi.
 
Makini sana [emoji1531][emoji1531][emoji1531]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninasikitika kuwa sijawahi kuona mchango wake bungeni wala sura yake, nimemfahamu kwa sura juzi.
Zaidi nilikuwa namsikia akijadiliwa yeye na Mbunge Kubenea wakipanga uasi.
Sijawahi kuona mbunge takataka kama Anthony Komu.Yani lile jimbo la moshi vijijini ni kama vile halikuwahi kuwa na mbunge for almost five years

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Petro kwa nini anataka kuhama? mbona muda wote huwa hatutaki kujua au kuuliza hawa watu kwa nini wanahama?

haujawahi kuwa chadema iko hivi

Chadema wakikuchukia na lile kundi la Mbowe likikuchukia/-LINAKUTENGA, LINAKUSEMA, LINAKUSUTA, LINARUSHA VIJEMBE, Unachukiwa kila kitu na unaonekana kama trash kwao.
Reactiona za hao wanaohama, zinaweza kuwa mbaya zaidi kuliko hii, bahati mbaya huwa hatuoni upande wa pili TUNAANGALIA MATOKEO TU

Komu either utamuita kichekesho au la, bado anabaki kuwa ameifikisha chadema hapo ilipo; wengine wanaenda CCM, wengine wanaondoka kwa matusi makubwa na ILITARAJIWA aanike uozo wa matumizi ya fedha yote, maana kawa bwana fedha wa CDM for 15 years

Kweli Petro unaona ni rahisi sana mtu kama huyo kuhama tu bila sababu?? bila kuwa kadharauliwa??

Kuna wanawake mtaani huwa wanaachwa na kutaka kugongwa na magari, na wengine kulewa na wengine kufanya vitu vya kupuuzi, HATA wanaume pia

kwa any reaction ya KOMU either iwe kichekesho, kisaikolojia ni kuwa he is not on his senses, nani kamfanya awe hivyo? nini kinaendelea chadema? who is next??

Bahati mbaya mnaijiita wachambuzi! hamuangalii cause
Kinachokisema kichekesho ni yeye kutoondoka na kuahidi kufanya hivyo siku zijazo. Kwanini asiondoke muda huu hadi labda afukuzwe CHADEMA? Namheshimu sana Komu na kamwe siwezi kumuita kichekesho kama ulivyosema. Najua alikuwa NCCR na anarejea huko.
 
Petro E. Mselewa mchezaji mpira anapotangaza kuwa msimu ujao hatasaini mkataba na timu yake ya sasa huwa tunamchukulia vipi? Nawaza tuu hata Wabunge wanajaribu kuangalia watafaniwa vipi wakiwa na CHAMA fulani.
 
Najaribu tu kufikiri, huenda huyo jamaa alitaka kusema hatagombea tena ubunge uchaguzi ujao.
Kwa hiyo anamalizia kipindi kilichobaki tu apumzike. Ghafla akabadilisha gia angani, ikawa anamalizia kwanza kipindi cha ubunge wake halafu ndio aondoke CDM kwenda NCCR. Kwa sababu hilo la kwanza linawezekana, la pili hapana. CDM watakaa kikao na kumtimua, hakuna namna wanaweza kuendelea kukaa na mtu ambaye ameshatangaza hadharani kuwa anaondoka. Tusubiri tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sie tunaamini kwamba tunaelewa ni nini hasa kinachoendelea kumbe tunaweza kuwa mbali na ukweli.
Mkuu hili ni kweli kabisa.

Asilimia kubwa ya watu wamejikita kwenye mambo mawili, kuwa amenunuliwa au ana njaa na hizi ni hisia tu.

Huwa tunasema na tunakiri kuwa Nchi ni kubwa kuliko vyama na Wananchi vivyo hivyo, so binafsi naona Komu kaona mwisho wa maisha yake ndani CDM umefika hivyo ataondoka na ni haki yake kabisa, lakini bado ana jukumu la kuendelea kuwatumikia wananchi waliomchagua ambao wengine hata si wanachadema, ameona ni muhimu atimize wajibu wake ktk bunge muhimu lijalo la bajeti, sasa kwa kufanya hivi nako kakosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio, wabunge wa Chadema waliohamia CCM wamefanya ruzuku ya chama Dume iongezeke na kufikia zaidi ya sh 13 bilioni kwa mwaka.

Inapoongezeka CCM ya Chadema inapungua ndio maana Mbowe hawezi kabisa kumfukuza Komu na Anthony analijua hilo vizuri ndio maana hana wasiwasi.
Wewe Yohana kwani ni miezi mingapi imebaki bunge livunjwe? Wakati mwingine kuna gharama kubwa tu unatakiwa kulipa kulinda heshima yako.
CDM wakiogopa kumtimua Komu eti kwa sababu ya ruzuku huko ni kujidhdlilisha kwa kiwango cha juu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom