Anachokifanya Docta Slaa sio fair

sangara.....kuna watu hawawezi kusoma na picha hawaoni pia!

Mimi hata niko mdomo wazi, hivi kuna watu wanajua kutumia computer na hata kupitia complicated procedures za kujisajiri na JF lakini bado wasiwe na uwezo wa kudadavua mambo haya??
 
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.

Mkuu sangarara, Dr. Slaa kafanya vizuri. Tunahitaji kwenda huko kwenye ngome ya CCM kuwaelimisha watu kwa sababu tunawahitaji. Pia huu ni muda muafaka kuliko muda mwingine wowote ule ili wananchi wapate muda mzuri wa kutafakari wanayoambiwa na yale wanayoyaona kwenye vyombo vya habari.

Pili ni kuthibitisha kwamba CDM sio chama cha msimu kama tulivyowahi kuaminishwa. Mwache Dr. wa ukweli awashike.
 
huko ndiko kwenye wapiga kura na wapiga kura hawa wa vijijini wana tabia yao moja tu,wanahitaji kutembelewa mara kwa mara na kupewa elimu,ukienda kipindi cha uchaguzi watakuuliza umesubiri uchaguzi ndio umekuja? nadhani kuimarisha chama hakuhitaji kusubiri uchaguzi,wakati ndio huu kwa chama chochote kile kujiimarisha.zaidi kwa hawa wapiga kura wa ukweli,na nani amekudanganya kuwa huko ni ngome ya ccm? labda ungepita maeneo ya lupiro,kidete,malinyi,igumbiro,huko vyama kama NCCR,CUF ndio wameweka mizizi tofauti na ufikiriavyo
 
Utakoma safari hii. Kama vipi jinyonge tu.
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.
 
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.

Wakati flani muwe mnaushirikisha ubongo basi, kujua kusoma na kuandika basi imekuwa nongwa!
 
Akirudi huko anakuja kukopa Millioni 150, maana huko si anatembeza bakuli.
 
Walidanganywa kuwa kampeni zinaanza uchaguzi unapomalizika, kwa hiyo wao waliposhindwa na kugaragazwa vibaya sana uchaguzi uliopita tu, kabla hawajaponesha majeraha, wameanza kampeni. Eti ya kumuondoa Kikwete madarakani. Eti nchi haitawaliki. Ingekuwa haitawaliki wangefika huko unapopasema?

Wale wasio Wakristo kaeni macho na M4C. mnaingizwa mkenge bila kujijuwa.
YkIY1GhDfoAAAAAASUVORK5CYII=

Yaani anachokifanya ni kuchomoa mpira wa oxygen kwa mgonjwa mahututi. Mi naona anahitajika kiongozi mmoja mwenye busara wa ccm amuite huyu mzee waongee kama wanaweza kusettle hii issue namna ingine, ama sivyo huku ni zaidi ya kuwajeruhi.

Mkuu sangarara hapana, hahitaji kuzungumza lolote na magamba kwa maana wameshauriwa sana imeshindikana. kila cku wanasema huo ni uzushi, sio kweli, mzee mwongo lakini pia hawapo tayari kusema ukweli ni upi. Hata ule uzushi unapothihirika kuwa ni kweli basi husema umetengenezwa na CDM. Huyu mgonjwa anayepumulia mipira anatuchosha sana bora afe tu ili tupumzike.
 
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.

Hapo kwenye bold, pamenikera sana. Hivi mtoa mada anatoka kijiji gani. Huyu hata kama ni mwenzetu ajipange vizuri kabla kuja jamvini. WAKIENDA VIJIJINI KERO, WASIPOENDA KERO, WAFANYE NINI SASA?
 
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.

"TOO MUCH PRESSURE", That's an excellent observation.
 
Kati ya wewe na Dhaifu nani dhaifu? Mwenzio alisema vyma vya msimu/vya uchaguzi, wewe unasema wasubiri wakati wa uchaguzi. Wenzio kina Ritz, zomba na wengineo wanasema Chadema ni cha kaskazini Dr Slaa na wenzie wana prove otherwise wewe unakuja na ***** wako hapa. Mwaka huu mtakufa kwa pressure
 
Last edited by a moderator:

Ili kumaliza vita, adui unamfuata mkuu.,au umesahau aliye juu mfuate huko huko!
 
Kati ya wewe na Dhaifu nani dhaifu? Mwenzio alisema vyma vya msimu/vya uchaguzi, wewe unasema wasubiri wakati wa uchaguzi. Wenzio kina Ritz, zomba na wengineo wanasema Chadema ni cha kaskazini Dr Slaa na wenzie wana prove otherwise wewe unakuja na ***** wako hapa. Mwaka huu mtakufa kwa pressure

Unaongelea saccos?
 
jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya chadema kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is dr slaa, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya ccm,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? Sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. This is too much pressure.

presha inapanda, presha inashuka
 
Back
Top Bottom