dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,121
- 49,368
Eti kuna ambao hawajamwelewa mtoa mada! Kuna style kadhaa za uandishi ikiwa ni pamoja na lugha. Mtoa mada katumia lugha inayoitwa "lugha ya kinyume". Imeandikwa mahala fulani; kusikia mtasikia lakini hamtaelewa, kuona mtaona lakini hamtatambua. Mambo ya falsafa hayo. Umeeleweka vizuri sana Mkuu.