- Thread starter
- #61
Labda aje akiwa tayari Rais na amepata tayari Spika na Jaji mkuu ni yeye.Kama wamemhakikishia sina shaka atakuja
Labda aje akiwa tayari Rais na amepata tayari Spika na Jaji mkuu ni yeye.Kama wamemhakikishia sina shaka atakuja
Wahaini ni wale waliotumia risasi za umma,bunduki ya umma,kufukuza walinzi wa umma na kuondoa cctv za uma na kushindwa kumuua Lisu kama walivyopewa maagizo kutoka juu.Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Edward snowden sio political subject kama lissu. Kesi yake na lisu ni vitu viwili tofauti.Ameuawa khashog sembuse huyo Mnyampaa aliyelia baada ya kushida kesi ya ubunge.Edward Snowden anasakwa kwa ULISU.
Magufuli yule waziri nilikuwa namheshimu sana na nilimpa kura yangu.aliniboa tu baada ya kuamua kuwa mtu wa siasa tu na kutanguliza maslahi ya ccm mbele badala ya maslahi ya nchi yetu.yaani huyu magufuli rais ni tofauti na yule magufuli aliyekuwa waziri.Yule alikuwa mtu wa hapa kazi tu,na huyu tuliyenaye ni mtu wa hapa siasa tu? Mtu anayepokea wanachama wa ccm kwenye platform ya JWTZ katika nchi yenye democrasia ya vyama vingi unaanzaje kumheshimu hasa ukiwa professional?Maadam unamtambua kama RAIS hiyo inatosha. Hayo mengine ni mbwembwe na utovu wa nidhamu tu.
Hivi mnalipwa how much nowdays!!? maana awamu ile iliyopita nakumbuka ilikuwa buku 7.Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Sisi hapa hatuna cha kupoteza, hata asipotolewa huyu bwana bado tutakufa kwa risasi au kutekwa na wasiojulikana.bado watoto wetu watakaa chini kule mashuleni na bado tutaishi kwa hofuWa
Waulize Libya ya Gadafi na ya sasa ipi bora Obama mwenyewe akapologies lakini ilikuwa lazima iwe hivyo for American People
Kwa hiyo ckuhz nyie ndo mungu kumbe mnajua binadamu wenye zambi na wasio na zambi...afu rasharasha gani mtakazompa zaidi ya zile risasi 38...Adhabu kubwa inamngoja Tundu ni huko mbinguni ataenda kumalizana na muumba wake. Hizi za hapa duniani ni rasharasha tu.
Tena kama tunaakili akija tumpotezee ila tukimfanya chochote nakuambie 2020 haifikiLabda aje akiwa tayari Rais na amepata tayari Spika na Jaji mkuu ni yeye.Kama wamemhakikishia sina shaka atakuja
Kwani mbunge boby wine ilikuwaje si haya haya. Just different stories.Labda aje akiwa tayari Rais na amepata tayari Spika na Jaji mkuu ni yeye.Kama wamemhakikishia sina shaka atakuja
Mkuu ni hiyohiyo bado wanalipwa...ukiwaona wamekaukiana midomo wakati huku mtu na mtoto wa dada ake wanachota matrilioni hazinaHivi mnalipwa how much nowdays!!? maana awamu ile iliyopita nakumbuka ilikuwa buku 7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanaosota lumande kwa kufanya siasa huku wakiwa ni watanzania wanakuwa wamevuja sheria gani? Mfano Lissu anaambiwa ni msaliti ameisaliti nchi yetu nini? Wewe mshukuru mungu tu kama hayajakukuta,kuna watu wapo gerezani na hawajawahi kufanya kosa lolote.hadi shetani anashangaa why wapo gerezaniMimi nafuata Sheria na Kanuni za KATIBA ya JMT. Na pia nimelelewa katika familia ya wazazi wote wawili (Baba na Mama) na kufunzwa mema na kuheshimu watu wa aina na rika zote ningali mdogo. Kwa hiyo sidhani kama nitakumbwa na mnyoosho wowote. Minyoosho inawahusu wahuni na wavuta majani kama nyinyi ambao wengi wenu mmekulia katika mazingira ya ajabu ajabu. Allah awafanyie wepesi.
sijaona popote panapotajwa nchi ila naona serikali na kiongozi wake,sasa hili la kusaliti nchi linatoka wapi?na vipi kama hiyo serikali imegeuka kwamba badala ya kutekeleza wajibu wake iliopewa kikatiba ikaamua kujigeuza kikundi cha waharifu eg wasiojulikana? Anyway issue ni kuwa ukiamua kufunja misingi na taratibu tulizokubaliana basi ujue na wangine watafunza,alianza yeye sasa wao wanamalizia just wait.
Mngeyajua hayo msingemfanyia mliyomfanyiaJamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Sasa wapi lissu ameisaliti JMT?zaidi ya kumsema huyu mtu wenu aliyezuzuliwa na madaraka na kujiona yeye ni Mungu wa Tanzania na watanzaniaNchi ni Jamhuri
Nchi ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Serikali ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Acheni ulevi wa upinzani
Exactly, ngoja nimsubiri none kama atajibu kama msomi!Hawa watu wamejaa hofu na hawajiamini kutokana na matendo yao ndio maana wanaleta hata hizi hoja za kipuuzi.
Hapa kaongea kama mlevi tu na inawezekana hawaelewi hata maana ya uhaini bali karopoka tu.
Unaelewa maana ya uhaini wewe?Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.
Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.
Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.
Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.
Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Absolutely wewe ni Muasi
Rais haongozi Chadema anaongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Serikali ni ya kidemocrasia yaani ya wananchi sio ya Magufuli mbumbumbu wewe. Hivyo mnawatukana wananchi na katiba ya nchi.Ni sawa na kujiuliza kwa nini niekuoa/nimeolewa na weweSasa wapi lissu ameisaliti JMT?zaidi ya kumsema huyu mtu wenu aliyezuzuliwa na madaraka na kujiona yeye ni Mungu wa Tanzania na watanzania