Anachofanya Lissu ni uhaini

Anachofanya Lissu ni uhaini

Sio binadamu tu bali hata wanyama na viumbe hai wote wana Haki za kimsingi Kuishi. Lissu hatetea Haki ya mtu yoyote ya kimsingi bali anatetea Maslahi yake binafsi na ulafi wa madaraka. Muda utaongea.
Hizo Haki "zenu" za msingi zinazochukuliwa na binadamu wengine kinyume cha na utaratibu wa Sheria ni Zipi!? Na hao binadamu wanaozichukua ni Kina nani!?

Mkuu unatakiwa ujikite katika ulicho kianzisha ,umesema Mh Lissu ni Mhaini nime kuomba utuoneshe hayo Makosa yake unageuza Stori ooh ni Mlafi wa Madraka sasa haya yamekujaje ?

Simamia ulicho kisema Mwanzo ,ukisema flani ni Mwizi onesha na Ushahidi.Unaonekana haujui unacho jadili uaanzisha hili unarukia mengine.
 
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.

Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.

Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.

Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.

Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Absolutely wewe ni Muasi
Mhaini namba moja nchi hii anajulikana mbona! Anajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwao kijijini kwa mabavu, aliamrisha Mbunge apigwe risasi 38!! Anatumia pesa za umma bila kufuata utaratibu, ana kichaa, n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani akisema nimepigwa risasi hakuna uchunguzi wowote,kamera za cctv zimegolewa ambazo zingesaidia uchunguzi.
Hela ya matibabu haijatolewa to date.
Bado natibiwa nitafanyiwa upasuaji tena nk ni uhaini
Itakuwa unatania hauko serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.

Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.

Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.

Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.

Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Absolutely wewe ni Muasi
Nasikitika sana kwa kauli zako unazotoa bila kupima unachozungumza! ,Any way naomba ikaangalie tafsiri ya neno uhaini kwenye kamusi na siasa alafu uje hapa upime ulichozungumza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya Uhaini. Na.2 ya 1970 Jedwali
SURA YA SABA

UHAINI NA MAKOSA MENGINE DHIDI YA SERIKALI
39.-(1) Mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano
(a) akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, anamuua au anajaribu kumuua Rais; au

(b) akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano anaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano,
atakuwa na hatia ya kosa la uhaini na atawajibika kwa adhabu ya kifo.

(2) Mtu yeyote ambaye, yumo katika ndani ya Jamhuri ya Muungano, akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, anajenga nia kusababisha au kuwezesha kusababishwa, au anajenga nia ya kuchochea, anashawishi, shauri au kuusia mtu yeyote au kikundi cha watu kusababisha au kuwezesha kusababishwa yoyote kati ya matendo au malengo
yafuatayo, yaani:-

(a) kifo, kumlemaza au kumjeruhi, au kufungwa au kumzuia,
Rais;

(b) kumwondoa Rais madarakani isivyo halali kutoka katika
wadhifa wake wa Urais au kumwondolea ufahari, heshima na jina la Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Muungano;

(c) kupindua kwa njia zisizo halali, Serikali ya Jamhuri ya Muungano; au

(d) kutishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Bunge na Mahakama ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano,
na kubainisha nia hiyo kwa kuchapisha maandishi or machapisho au kwa kitendo chochote cha siri kinachojionyesha cha hali yoyote, atakuwa na hatia ya kosa na atawajibika kwa adhabu ya kifo.

(3) Mtu yeyote ambaye, yumo katika utii wa Jamhuri ya Muungano–

(a) aliye na mshikamno na maadui wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au anawapa msaada au hifadhi ndani ya Jamhuri ya Muungano au kwingineko;

(b) anachochea, aidha ndani ya Jamhuri ya Muungano au kwingineko, mtu yeyote aivamie Jamhuri ya Muungano kwa kutumia jeshi; au

(c) anabeba silaha ndani ya Jamhuri ya Muungano kwa amri, kwa nia ya kutumia nguvu ya kuizuia, kuilazimisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano kubadilisha vigezo au ushawishi wake, au kwa nia ya kulazimisha au kuzuia au kutishia, Serikali ya Jamhuri ya Muungano,
atakuwa na hatia ya kosa la uhaini na atawajibika kwa adhabu ya kifo.

Kutukanwa kwa Trump hakukupi Wewe na wapumbavu wenzako kumtukana RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa Mujibu wa Sheria na KATIBA ya Tanzania. Mzee Kikwete aliwalea sana nyinyi wahuni. Mtanyooka tu awamu hii.
sijaona popote panapotajwa nchi ila naona serikali na kiongozi wake,sasa hili la kusaliti nchi linatoka wapi?na vipi kama hiyo serikali imegeuka kwamba badala ya kutekeleza wajibu wake iliopewa kikatiba ikaamua kujigeuza kikundi cha waharifu eg wasiojulikana? Anyway issue ni kuwa ukiamua kufunja misingi na taratibu tulizokubaliana basi ujue na wangine watafunza,alianza yeye sasa wao wanamalizia just wait.
 
Kifungu namba 2 (B) kinasemaje!?
Mnakengeuka na kubinuka nywalu juu ili mradi mpotoshe umma na kusambaza chuki. Awamu hii hamtoboi enyi mliofeki Vyeti na Majizi ya Mali za umma.
 
Kwa upeo wako mdogo Arab Revolution unaijua kwa juu sana kama anachokifanya Lisu akijua kwa juu sana.Arab revolution story ni ndefu sana kwa sisi wenye elimu Maalum yaani zaidi ya University. Kifupi sana ili uache kupotosha. Uadui wa marekani na Osama ulianza wakati wa vita ya guba ya uajemi.pale marekani ilipoomba kuweka manuari kwenye fukwe za saudi arabia wakati huu Osama akiwa CIA agent middle East nchi kiarabu zikaandika barua na kuita kitendo hicho ni kuusaliti Uislam kukaribisha makafiri.Osama akamfuata mfalme wa saudia waachane na mpango huo mfalme akakataa kuisaliti USA. Osama akamtukana mfalme na akatoroka. Ikasemekana yupo somalia navy seal 19 wakaingizwa somalia kwa ushirikiano na rais wa wakati huu 1990's baadaye ujumbe wa kislamu ukafika kwa Rais wa Somalia kumtahadhalisha siku chache kabla ya mission navy seal wakasalitiwa na Somalia waliuawa na kuvutwa mitaani na magari.Osama kapotea tena.isemeka Yupo sudan USA drone zikaipiga Khartoum.Osama kapotea tena.Baadaye akasemekana yupo Afghanistan waomba hifadhi Iraq Sadam waliomsaidia kuingia madarakani 1953 kwa kumuua Rais aliyekuwa madarakani.Sadam akakataa/akasaliti zengwe la nyukilia likaanza.wakampiga sambamba na kuivamia Afghanistan wakimwinda Osama.Osama akatoroka.Akapatikana Pakstan.Swali kubwa Je akitoroka hapa atakimbilia wapi?intelligence report zikaonyesha Misri,Tunisia,Libya au SYRIA.hodi kwenye nchi hizo hatutaki Navy Seal.Ikatumika njia inayoitwa Arab Revolution kuvuruga future concealment ya bin Laden.wewe na umbumbu wako unaona around your book
 
Sio ufinyu mdogo,wewe uliyeapa kuilinda hiyo katiba then ukaamua kutenda kwa mehemuko na matakwa yako basi jua na wengine wataifunja tu.kwa sasa hivi vifungu vya katiba tuviweke tu pembeni kisha tujiulize tunawezaje kumaintain madaraka yetu bila kuua kabisa umoja wa nchi yetu.Mkuu kumbuka pia Ghadafi or Idd Amini alikuwa Rais pia
Kwa upeo wako mdogo Arab Revolution unaijua kwa juu sana kama anachokifanya Lisu akijua kwa juu sana.Arab revolution story ni ndefu sana kwa sisi wenye elimu Maalum yaani zaidi ya University. Kifupi sana ili uache kupotosha. Uadui wa marekani na Osama ulianza wakati wa vita ya guba ya uajemi.pale marekani ilipoomba kuweka manuari kwenye fukwe za saudi arabia wakati huu Osama akiwa CIA agent middle East nchi kiarabu zikaandika barua na kuita kitendo hicho ni kuusaliti Uislam kukaribisha makafiri.Osama akamfuata mfalme wa saudia waachane na mpango huo mfalme akakataa kuisaliti USA. Osama akamtukana mfalme na akatoroka. Ikasemekana yupo somalia navy seal 19 wakaingizwa somalia kwa ushirikiano na rais wa wakati huu 1990's baadaye ujumbe wa kislamu ukafika kwa Rais wa Somalia kumtahadhalisha siku chache kabla ya mission navy seal wakasalitiwa na Somalia waliuawa na kuvutwa mitaani na magari.Osama kapotea tena.isemeka Yupo sudan USA drone zikaipiga Khartoum.Osama kapotea tena.Baadaye akasemekana yupo Afghanistan waomba hifadhi Iraq Sadam waliomsaidia kuingia madarakani 1953 kwa kumuua Rais aliyekuwa madarakani.Sadam akakataa/akasaliti zengwe la nyukilia likaanza.wakampiga sambamba na kuivamia Afghanistan wakimwinda Osama.Osama akatoroka.Akapatikana Pakstan.Swali kubwa Je akitoroka hapa atakimbilia wapi?intelligence report zikaonyesha Misri,Tunisia,Libya au SYRIA.hodi kwenye nchi hizo hatutaki Navy Seal.Ikatumika njia inayoitwa Arab Revolution kuvuruga future concealment ya bin Laden.wewe na umbumbu wako unaona around your book
 
Na wewe kumbuka ya kwamba Asange na Snowden walikuwa watetea Haki kama Tundu Lissu. Wako wapi leo hii!?
Kwa hiyo moja moja sasa acha tusubirie hili game litaishaje badala ya kuja na vifungu vya katiba ambavyo hata hao walioapa kuvilinda hawaviheshimu
 
Na wewe kumbuka ya kwamba Asange na Snowden walikuwa watetea Haki kama Tundu Lissu. Wako wapi leo hii!?
Katiba ipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya Tanzania mikataba mibovu ni kwa maslahi ya nani?Lisu alianza kimya kimya kwa sasa hadharani. La ndege kukamatwa alifanya kimya kimya kwa maslahi ya nani?
 
Kwa hiyo moja moja sasa acha tusubirie hili game litaishaje badala ya kuja na vifungu vya katiba ambavyo hata hao walioapa kuvilinda hawaviheshimu
Tofauti ya Mh. John P. Magufuli na Tundu Lissu ni kwamba Mmoja ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwingine ni Mbunge wa Singida mashariki.
Mpaka hapo mtakaopelewa tofauti na uzito wa vyeo baina ya wawili hao mtaendelea kupata tabu sanaaaaa!
 
Mimi ninachojua Magufuli sio rais wa kwanza wa nchi hapa duniani
 
Ni kweli kwa aina ya rais tuliyenae,huyu anayependa ligi na kila mtu,huyu anapenda magomvi,huyu mtu wa visasi kweli tutanyoka ila tu be careful usije ukaanza kunyoshwa wewe
Mimi nafuata Sheria na Kanuni za KATIBA ya JMT. Na pia nimelelewa katika familia ya wazazi wote wawili (Baba na Mama) na kufunzwa mema na kuheshimu watu wa aina na rika zote ningali mdogo. Kwa hiyo sidhani kama nitakumbwa na mnyoosho wowote. Minyoosho inawahusu wahuni na wavuta majani kama nyinyi ambao wengi wenu mmekulia katika mazingira ya ajabu ajabu. Allah awafanyie wepesi.
 
Nabii wenu Mbowe alikuwa na fikra kama hizo. Lakini alipoingia kwenye 18 na kuikosea nidhamu Mahakama alitambua ya kwamba Tundu Lissu hana mamlaka ya kumnasua kikaangoni. Yupo Segerea anapangiwa zamu ya kuoga, kusafisha choo na kufagia sero na nyapala.
Kwa hiyo iyo ndo adhabu kubwa ya uhaini mtakayompa lissu ambayo ni kubwa kuliko zile risasi 38...we endelea kukauka midomo humu jf mwenzio na mtoto wa dada yake wanachota ma trilioni huko hazina
 
Katiba ipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya Tanzania mikataba mibovu ni kwa maslahi ya nani?Lisu alianza kimya kimya kwa sasa hadharani. La ndege kukamatwa alifanya kimya kimya kwa maslahi ya nani?
Hawa wandugu wanakumbuka katiba maslahi yao yanapotishiwa,ila wakiwa wanakula watakuambia hatukuahidi katiba wala watanzania hawahitaji katiba bali maji safi,barabara na blabla nyingine.These dudes are short focused indeed
 
Kwa hiyo iyo ndo adhabu kubwa ya uhaini mtakayompa lissu ambayo ni kubwa kuliko zile risasi 38
Adhabu kubwa inamngoja Tundu ni huko mbinguni ataenda kumalizana na muumba wake. Hizi za hapa duniani ni rasharasha tu.
 
Back
Top Bottom