Anachofanya Lissu ni uhaini

Anachofanya Lissu ni uhaini

Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.

Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.

Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.

Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.

Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Absolutely wewe ni Muasi
Piga ua ccm isingeendelea kuwa madarakani kama mabepari wasingekuwa wananufaika na rasilimali za nchi hii kwa hiyo hizo puma lambda msumukuma ndo atazielewa
 
Kw
Hiyo ni moja ya tafsiri au Maana ya neno UHAINI. Kuna maana nyingi sijaziainisha hapo juu....ikiwepo kumtukana na kumvunjia heshima kiongozi wa Nchi. Kulivunjia heshima Bunge na Mahakama.

Uhaini (kutoka neno la Kiarabu) ni pale mtu anapotenda jambo dhidi ya nchi yake. Kwa mfano, mtu anaweza kuisaidia nchi nyingine ipigane vita dhidi ya nchi yake kwa kutoa habari za siri.

Uhaini ni neno la kawaida, lakini nchi tofauti zina sheria na adhabu tofauti dhidi ya matendo ya kihaini, hata adhabu ya kifo.

Miongoni mwa wahaini maarufu duniani kuna Yuda Iskarioti, Benedict Arnold, Philippe Pétain na Vidkun Quisling.
kwa hiyo lisu kusema alipigwa risasi na uchunguz haujafanyika ni uhaini?
 
Rais haongozi Chadema anaongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Serikali ni ya kidemocrasia yaani ya wananchi sio ya Magufuli mbumbumbu wewe. Hivyo mnawatukana wananchi na katiba ya nchi.Ni sawa na kujiuliza kwa nini niekuoa/nimeolewa na wewe
Ni kweli serikali niya wananchi ila magufuli kaipora toka kwa wananchi wa Tanzania, ndo maana yeye sasa ndo mgawaji wa pesa zetu tena kwa matakwa yake badala ya kutumia taratibu tulizokubaliana_refer maneno yake pale kimara kwenye ufunguzi wa ujenz wa barabara Kimara Kibaha.By the way nimeshakuambia kuwa kwa kuwa yeye ameamua kutoitii katiba aliyoapa kuilinda basi hamna namna sisi ambao hatujaapa kuilinda tunaweza kuiheshimu
 
Wahaini ni wale waliotumia risasi za umma,bunduki ya umma,kufukuza walinzi wa umma na kuondoa cctv za uma na kushindwa kumuua Lisu kama walivyopewa maagizo kutoka juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu

Kule Afrika ya Kusini jana juzi aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, amelazimishwa kujiuzulu,
Rais Zuma alijiuzulu kwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo yakupuuza katiba na sharia za afrika ya kusini pamoja na ufisadi .
Leo tuna rais wa nchi hapa anaitwa Magufuli anafanya watu wote wa nchi hii hatuna akili na watu tunakubali kwamba kasema magufuli….

Magufuli ni nani?…shangwe…
Magufuli nimekaa nae bungeni zaidi ya miaka kumi na tano, Magufuli ni mtu mmoja mfupi kitoka Chato, kila mtu Magufuli, Magufuli..yaani kila mmoja metro.. kisa nini .. Mgufuli mtu mmoja mfupi kutoka Chato. Balaa gani hii. ..

Magufuli amechaguliwa kuwa rais wanchi hii,
Akaapa kuilinda katiba, na katiba yetu inasema inasema utwala wa nchi yetu na mfumo wauongozi wa nchi yetu ni mfumo wa vyama vingi vya siasa.

Magufuli anasema hakuna kufanya siasa, mpaka 2020, na wanaume wote, wanawake wote wanakubali,
kasema nani Magufuli anavunja katiba badala ya kumkemea, tumtake ajiuzulu tunaogopa ujinga gani huu..
 
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.

Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.

Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.

Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.

Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Absolutely wewe ni Muasi
mwambie aliyekutuma ujumbe haikufika, ni pale njaa inapohamia kichwani
 
waulize wakandarasi waliozuia ndege nani alikuwa anasaidia kutrace asset. Hayo ndiyo makavu
mwanzo aliwashauri kisheria mkajifanya wajuaji leo noa mlizotuahidi ziko wap kwanza msijifanye mna hati Miliki ya nchi hii mtakuja kupata taabu sana Wakefield ukifika
 
Hata mbowe hawezi kukuelewa ndiyo maana aliamua kubadilisha gia angani hakuna aliyemzuia 2015

Je tulee ujinga huu

By mbowe"
Ndugu zangu

Kule Afrika ya Kusini jana juzi aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, amelazimishwa kujiuzulu,
Rais Zuma alijiuzulu kwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo yakupuuza katiba na sharia za afrika ya kusini pamoja na ufisadi .
Leo tuna rais wa nchi hapa anaitwa Magufuli anafanya watu wote wa nchi hii hatuna akili na watu tunakubali kwamba kasema magufuli….

Magufuli ni nani?…shangwe…
Magufuli nimekaa nae bungeni zaidi ya miaka kumi na tano, Magufuli ni mtu mmoja mfupi kitoka Chato, kila mtu Magufuli, Magufuli..yaani kila mmoja metro.. kisa nini .. Mgufuli mtu mmoja mfupi kutoka Chato. Balaa gani hii. ..

Magufuli amechaguliwa kuwa rais wanchi hii,
Akaapa kuilinda katiba, na katiba yetu inasema inasema utwala wa nchi yetu na mfumo wauongozi wa nchi yetu ni mfumo wa vyama vingi vya siasa.

Magufuli anasema hakuna kufanya siasa, mpaka 2020, na wanaume wote, wanawake wote wanakubali,
kasema nani Magufuli anavunja katiba badala ya kumkemea, tumtake ajiuzulu tunaogopa ujinga gani huu..
Kinondoni
Ni kweli serikali niya wananchi ila magufuli kaipora toka kwa wananchi wa Tanzania, ndo maana yeye sasa ndo mgawaji wa pesa zetu tena kwa matakwa yake badala ya kutumia taratibu tulizokubaliana_refer maneno yake pale kimara kwenye ufunguzi wa ujenz wa barabara Kimara Kibaha.By the way nimeshakuambia kuwa kwa kuwa yeye ameamua kutoitii katiba aliyoapa kuilinda basi hamna namna sisi ambao hatujaapa kuilinda tunaweza kuiheshimu
 
Huyo magufuri wako hakushinda urais alitangazwa na lubuva ,baada ya wizi mkubwa kufanyika ukiongozwa na January makamba na uwt uchwara .
 
Subiri mtajaribu tena 2020
Ila itawachukua miaka 100 kufika kivukoni/Chamino. Maana formula yenu ni nje ya Katiba.
Huyo magufuri wako hakushinda urais alitangazwa na lubuva ,baada ya wizi mkubwa kufanyika ukiongozwa na January makamba na uwt uchwara .
 
Hata mbowe hawezi kukuelewa ndiyo maana aliamua kubadilisha gia angani hakuna aliyemzuia 2015

Je tulee ujinga huu

By mbowe"
Ndugu zangu

Kule Afrika ya Kusini jana juzi aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, amelazimishwa kujiuzulu,
Rais Zuma alijiuzulu kwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo yakupuuza katiba na sharia za afrika ya kusini pamoja na ufisadi .
Leo tuna rais wa nchi hapa anaitwa Magufuli anafanya watu wote wa nchi hii hatuna akili na watu tunakubali kwamba kasema magufuli….

Magufuli ni nani?…shangwe…
Magufuli nimekaa nae bungeni zaidi ya miaka kumi na tano, Magufuli ni mtu mmoja mfupi kitoka Chato, kila mtu Magufuli, Magufuli..yaani kila mmoja metro.. kisa nini .. Mgufuli mtu mmoja mfupi kutoka Chato. Balaa gani hii. ..

Magufuli amechaguliwa kuwa rais wanchi hii,
Akaapa kuilinda katiba, na katiba yetu inasema inasema utwala wa nchi yetu na mfumo wauongozi wa nchi yetu ni mfumo wa vyama vingi vya siasa.

Magufuli anasema hakuna kufanya siasa, mpaka 2020, na wanaume wote, wanawake wote wanakubali,
kasema nani Magufuli anavunja katiba badala ya kumkemea, tumtake ajiuzulu tunaogopa ujinga gani huu..
Kinondoni
Yah huu ulikuwa ukweli na kama yupo ndani kwa sababu hii basi ni mwendelezo wa kile kinaitwa udikteta sasa ukiona lisu anafanyia siasa nje basi haina tofauti na watu wengine waliofanyia siasa zao nje kisha wakalejea kuchukua nchi. Tusubiri tu mkuu wakati utaamua
 
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.

Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.

Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.

Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.

Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Absolutely wewe ni Muasi
Yaani waliomfanyia mtu UGAIDI wa kummiminia risasi all most 38 kama Chatu au Tembo ni wema na watakatifu. Lakini yule anayelalamika kufanyiwa dhulma hii ni MHAINI ??!!.

Kweli Kiswahili kinasomeka kinyume nyume. Hii ndiyo awamu ya 5. Mimi nadhani mnamharibia sana mh. Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edward snowden sio political subject kama lissu. Kesi yake na lisu ni vitu viwili tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
the crime of betraying one's country, especially by attempting to kill or overthrow the sovereign or government.
"they were convicted of treason"
synonyms:treachery, lese-majesty; More

  • the action of betraying someone or something.
    plural noun: treasons
    "doubt is the ultimate treason against faith"
    synonyms:treachery, lese-majesty; More

  • HISTORICAL
    the crime of murdering someone to whom the murderer owed allegiance, such as a master or husband.
    noun: petty treason; plural noun: petty treasons
 
Hahah hayo yote nayafaham. But then again where did lissu tried kill or tried to overthrow the sovereign or goverment?

Where did he betray the country?

Where did murder ?

the crime of betraying one's country, especially by attempting to kill or overthrow the sovereign or government.
"they were convicted of treason"
synonyms:treachery, lese-majesty; More

  • the action of betraying someone or something.
    plural noun: treasons
    "doubt is the ultimate treason against faith"
    synonyms:treachery, lese-majesty; More

  • HISTORICAL
    the crime of murdering someone to whom the murderer owed allegiance, such as a master or husband.
    noun: petty treason; plural noun: petty treasons

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.

Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.

Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.

Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.

Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Absolutely wewe ni Muasi
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;

1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu

2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.

3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.

Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
 
Yaani waliomfanyia mtu UGAIDI wa kummiminia risasi all most 38 kama Chatu au Tembo ni wema na watakatifu. Lakini yule anayelalamika kufanyiwa dhulma hii ni MHAINI ??!!.

Kweli Kiswahili kinasomeka kinyume nyume. Hii ndiyo awamu ya 5. Mimi nadhani mnamharibia sana mh. Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
mnaiharibia sana Chadema kuelekea kuwachama tawala.Nchi na Serikali haijashindwa kulinda Raia na mali zao
 
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ina katiba inayotambua Rais,Bunge na mahakama. Unapotukana mihimili hii mitatu unajunja katiba inayoweka miiko na taratibu za nchi.

Katiba inamtambua rais aliyepatikana kwa kura za wananchi, unapohamasisha Rais apingwe kila kona na kususiwa huo sio UASI.

Rais hakukwapua madaraka kama unavyotaka yakwapuliwe. Ujuwe kwa katiba hii kama utakuwa Rais kwa mkono wa wafadhili wako sawa lakini kama ni katiba hii wewe ni Muasi tayari.

Bunge ni mhimili mwingine unaoubeza ambao umekulea na kukuapisha kutii katiba na sheria za nchi pia unayo kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa nini usitumie ushawishi kikatiba kumtoa Rais madarakani.

Kama kuna kuvunja katiba kuna mahakama ya Katiba lakini umeamuakutumia shortcut. Hukumbuki shortcut itakulazimu kuja na majeshi yako, katiba yako, wanajeshi wako, usalama wako nje ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Absolutely wewe ni Muasi
Mara nyingi zinapokosekana hoja za kujibu kile anachokiamini Lissu kama muhanga/muathirika na uvunjwaji wa haki , ndio kunabaki visingizio kama hivi kwamba Lissu anaitukana serikali na mihimili yake. Hivi una fatilia alichofanyiwa Lissu? Baada ya Lissu kunusurika kifo, ulisikia kilichowapata waliokua wanavaa t-shirt zakumuombea apone haraka? Ulisikia kilichosemwa na bunge kuhusu matibabu ya mbunge wa jamhuri ya muungano wa watanzania? Umemsikia waziri wa serikali alichokisema ndani ya bunge kuhusu upelelezi dhidi ya waliotaka kumuua Lissu? Mimi nadhani tatizo sio Lissu, bali tatizo ni wasio julikana.
 
the crime of betraying one's country, especially by attempting to kill or overthrow the sovereign or government.
"they were convicted of treason"
synonyms:treachery, lese-majesty; More

  • the action of betraying someone or something.
    plural noun: treasons
    "doubt is the ultimate treason against faith"
    synonyms:treachery, lese-majesty; More

  • HISTORICAL
    the crime of murdering someone to whom the murderer owed allegiance, such as a master or husband.
    noun: petty treason; plural noun: petty treasons
Mimi nafikiri unajichanganya, ama kwa makusudi au kwa kutokujua maudhui ya madai yako. Lissu ni mTz kama wewe au mwingine yeyote. Ana haki ya kutangaza nia ya kuwania nafasi yoyote hapa nchini kwa njia za halali. Hajasema kutaka kupindua hiyo serikali unayoiabudu. Vinginevyo mseme ni haramu kwa CCM na wagombea wake kushindwa uchaguzi wa halali.

Lakini pili ki binaadamu naona hamkutaka Lissu a survive. Naona imewapa hasira. Mimi na waTz wengi tungependa kuongozwa ki democracy, bila kujali ni nani au chama gani kitashinda uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom