Anacheka NINI Huyu!!!!?

Anacheka NINI Huyu!!!!?

SAM_4169.JPG
 
Huyo jamaa elements zake hazina tofauti na za mkulu!
 
Anawakebehi hao mapimbi waliompeleka hapo... Ni kama moyoni anasema ''haya mehu yamenileta hapa kufanya nini sasa... Kwani mi ndo nimebomoa hivi vibanda vyao.. Au wanadhani mi fundi.. Wenzao wanatumia tofali menyewe yanakomaa na udongo.. Shauri yao.. Na hapa stoi kitu napiga ahadi tu, ntawarudia september kuwapa mifuko kumi kumi ya smenti''
 
nimerudi kaka....nadhani anavuta picha yale maghorofa anayojenga kila mkoa afu anacheka huku akijiambia kimoyomyo PUNDA HAWA NA BADO LAZIMA TUWAIBIE SANA

umenikumbusha ina maana anacheka huenda amepata kiwanja kingine, maana hao wataambiwa hameni hapa hapafai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom