Anabembeleza kuolewa.

Anabembeleza kuolewa.

tehteh...The Power Of Bargaining...
 
Hivi lengo la kutoa ile hela ya posa ni nini?
 
Hahahahahahaha nimecheka hadi nimeonekana fala kwa ofisi!!!!!
 
jamani kutoka ngombe 68 hadi moja hatari sana hahahahahhahahahahahahahaha huyo unasukumiwa bomu la japani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtoto wa mwenzio kabisa umuoe kwa njiwa wawili!!! [HASHTAG]#Walah[/HASHTAG] ugeuke jiwe hapo ulipo[emoji3]
 
Back
Top Bottom