Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Keshakuwa brainwashed huyo mama, anaona Muingereza ndio kipimo cha kila kitu kwa kuwa tu wanamuwezesha kwenda chooni, mbona hasemi kuna za Ulaya kama Swedeni, Island hazijafanya lockdown, Wananchi walikuwa wanajiachia tu zaidi hata Bongo, Bars zote, migahawa, masoko, parks zipo wazi na maambukizi na waliokufa Sweden ni wachache kuliko huko kwa mataahira Uingereza
Lkn bado sijaona sehemu nilipojilinganisha na Sweden au Island, isitoshe nilikuwa napinga alichoandika kwa kumpa mifano mingine ambayo alipaswa kuiongelea pia kwamba kuna nchi hazijafanya lockdown na hawako vibaya sana ukilinganisha na zile zilizofanya lockdown, kama Sweden, Island na hata Taiwani ingawaje wako karibia na China lkn hawakufunga uchumi wao, usichukulie habari katikati, ...