Ana sababu ya kumwonyesha kweli!?

228901_113287368822682_1341454556_n.jpg
Dogo anatafakari jinsi alivyoweza kupita kanjia ndogo kenye giza totoro kama hako miaka kadhaa iliyopita.
 
Baba V hata mie nilitaka kumuuliza The Pen swali hilo hilo! Huenda ana utani na Nyani Ngabu! Ha ha haaaa! Hata mie simooo!

LOL! Sikumtaja mtu kwa jina, k/hiyo ninyi, Baba V na mwaJ, mnabahatisha tu. Ndivyo hivi mnavyodanganywa na waganga wa kienyeji: "Pale jirani kuna msichana mmoja, mng'avu kidogo; anapenda kucheka sana. Huyo ndio m'baya wako". Baba V (thinking aloud): "Huyu lazima atakuwa mwaJ".
 
Last edited by a moderator:

Umenifanya nicheke kweli! The Pen ni kweli hukumtaja mtu lakini hebu tuambie wazi wazi hapa hako katoto kamefanana na avatar ya nani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom