Ana nuksi au ni bahati mbaya ?

Ana nuksi au ni bahati mbaya ?

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,429
Kuna dada mmoja anafanya kazi kwenye salon ya kiume nayoendaga,huyu dada alihamia Mbagala mwezi mmoja kabla ya mabomu na mwezi wa 12 mwaka jana alihamia Gongo la Mboto kwahiyo matukio yote mawili yalimuathiri.
Ana mpango wa kuhamia Kawe kwahiyo wakazi wa huko muwe na tahadhari kama kweli ana mkosi.
 
For god sack Asije akahamia Upanga makao makuu ya jeshi
 
duh! Kwahiyo uwepo wake mabomu yanlipuka yenyewe yakhee?
 
Back
Top Bottom