genltesoul
Member
- Dec 27, 2012
- 30
- 8
Huyo mke ni wa kupongezwa kwa sababu ni mkweli!, kitendo cha kusema ukweli kabisa kuwa kakopeshwa na nani, ni dalili yote ya uaminifu wa hali ya juu!.
Wengine kwako anaomba mtaji wa milioni 10 tuu anakwenda Dubai kwa ahadi ya kukaa siku 10 tuu!, akiwa Dubai anakuarifu kuwa imebidi asubiri mzigo mpya!, anarudi baada ya mwezi na mali za milioni 50!, huku ametakata, amependeza na amechangamka sana!.
Baada ya hapo, gues what?.
Wanawake ni wake zetu, lakini wee acha tuu, tena huyo afadhali, unasaidiwa tuu ila yupo, mimi mwenzenu naishi bongo siku zote, huku aliyeolewa anaishi US siku zote!. Kama sio kuwaolea watu ni nini?!.
Maadam mke ni wako, then no matter what, bado ni mke wako tuu!, hata kama unasaidiwa kama hiyo mitaji, hivyo ni misaada tuu, huyo jamaa anayekusaidia, anasaidia tuu lakini hachukui kitu chochote kutoka kwa mkeo!, angekuwa anachukua na kusababisha wewe kukosa, hapo yangekuwa mengine!.
Mwache shemeji apate mitaji afanye biashara kubwa, mwisho wa siku the final beneficiary ni wewe na wanenu, cha muhimu, usithubutu kuwapima DNA!.
Mimi mwenyenye sisi wote na wife ni weusi tii!, ila mmoja wa wanangu aliyezaliwa US, ni mweupe, pee!, nimeelezwa amefanana na bibi mzaa bibi wa enzi zile za Mjerumani!, ila ni mwanangu! and that is life!.
P.
kakap umeongea kwa hisia sana naona hili lako kubwa mnooooo pole kaka............