Ana mimba na Condom imetumika kwa usahihi

Ukiacha huyu dogo tunayefahamina zaidi ya 20 fulani vile huyu dada namfahamu kama 13 iliyotulia na ninawafahamu na historia yao ndiyo maana walikubalinana kuniita huyu kama ni kupima tabia za mtu kwa macho namkatalia na yeye analalamika kuwa kizazi chake kiko karibu sana jamani niko njia panda naogopa kutoa ushauri mbovu kwao

Mwenzangu! Au ni wewe? Kila nkisoma naona kama vile wewe!
 
Mwenzangu! Au ni wewe? Kila nkisoma naona kama vile wewe!

Naona kama wanachanganyikiwa bora ningekuwa mimi kuliko wao ingekuwa na mikasa ya kubadilisha ningebeba kwa ajili yao coz. Huyu dogo ni kama mdogo wangu wa kuzaliwa natoka naye kijiji kimoja kusini mwa Tz.na watu wengi wanajua kuwa ni ndg.wa kuzaliwa

Sioni sababu ya kujificha maana hakuna anayenitambua kwa jina zaidi ya haya majina ya humu ndani sioni sababu ya kujificha na mficha maradhi ugonjwa humuumbua
 
Mimi ni mwenyeji wa kukwaa la Siasa ila naomba kutoa ushuhuda tu.

I & my wife prefer condom usage when we think the dates are not safe. This very similar incidence (pregnancy) happened like 7yrs ago and it shocked both of us. When trying to put figures together we came to realize that on the D day we used the same (small) towel and specifically she cleaned me first and went on to clean herself. Pamoja na kuwa namwamini saaaaaaaaana bado mawazo potofu hayakukosa kunijia. Uzuri mbegu zangu kali huwezi kunitapeli. Tulliea na tukapata binti yetu wa mwisho - now grade 3.
We learned our lesson from then - kila mtu kifutio chake siku hizi or else ni kuvumilia hadi siku salama.

Hawa wapendwa issue ipo kwenye nini wafanye baada ya hili. Huyo mdada hana njia isipokuwa ajisalimishe kwa husband wake, amweleze kuwa kajikuta kwenye hali hiyo kutokana na frustration za unstable marriage.

Derimto huwezi amini inawezekana mumewe yeye kaanza kwenda nje siku nyingi maana kukata miezi 5 bila maloveeee na unalala na mwanamke same bed haiwezekani unless sheikh yahya kakwambia ukimuonja tu mkeo utakufa vinginevyo kuna mahali mkaka anapozea kiu yake. Ni rahisi ku-abstain kama hujaoa (walosoma boys skuli wataelewa).

Ila mdada awe tayari kwa lolote ikiwa pamoja na kichapo au ndoa kuvunjika. Huyo bro lake ni rahisi sana sitoshangaa mkewe akimsamehe maana Mungu amewaumba kina dada na mioyo ya ajabu sana - kusamehe kwao ni sawa na yaliyoandikwa kwenye msahafu (7 x 70).

Ni hayo tu narudi jukwaani kweeeeeeeeetu!
 
kama kondom ilitumika na bidada hajagawa nje.....basi walitumia kifutio kimoja......huu ni msala.......na kama hajakutana na mumewe miezi mitano hilo ni janga la taifa.....duh sasa huyu sijui tunamshaurije......mi naona suluhu ni moja tu....nitarudi baadae

Janga la kitaifa kwani mumewe anapumzikia wapi? Mama wa watu awe anajinyoosha hovyo kitandani kisa? Kama mumewe ndio anaona hilo ni zoezi la kumpa basi alee mtoto wa nje. Maana mwenzio asipate dozi miezi mitano na wewe upo sawasawa unategemea nini. We have made this world the worse place to be by our selfish acts.
 
Mimi ni mwenyeji wa kukwaa la Siasa ila naomba kutoa ushuhuda tu.

I & my wife prefer condom usage when we think the dates are not safe. This very similar incidence (pregnancy) happened like 7yrs ago and it shocked both of us. When trying to put figures together we came to realize that on the D day we used the same (small) towel and specifically she cleaned me first and went on to clean herself. Pamoja na kuwa namwamini saaaaaaaaana bado mawazo potofu hayakukosa kunijia. Uzuri mbegu zangu kali huwezi kunitapeli. Tulliea na tukapata binti yetu wa mwisho - now grade 3.
We learned our lesson from then - kila mtu kifutio chake siku hizi or else ni kuvumilia hadi siku salama.

Hawa wapendwa issue ipo kwenye nini wafanye baada ya hili. Huyo mdada hana njia isipokuwa ajisalimishe kwa husband wake, amweleze kuwa kajikuta kwenye hali hiyo kutokana na frustration za unstable marriage.

Derimto huwezi amini inawezekana mumewe yeye kaanza kwenda nje siku nyingi maana kukata miezi 5 bila maloveeee na unalala na mwanamke same bed haiwezekani unless sheikh yahya kakwambia ukimuonja tu mkeo utakufa vinginevyo kuna mahali mkaka anapozea kiu yake. Ni rahisi ku-abstain kama hujaoa (walosoma boys skuli wataelewa).

Ila mdada awe tayari kwa lolote ikiwa pamoja na kichapo au ndoa kuvunjika. Huyo bro lake ni rahisi sana sitoshangaa mkewe akimsamehe maana Mungu amewaumba kina dada na mioyo ya ajabu sana - kusamehe kwao ni sawa na yaliyoandikwa kwenye msahafu (7 x 70).

Ni hayo tu narudi jukwaani kweeeeeeeeetu!

Thnx. RealMan! Naanza kupata kapicha kapicha fulani sasa ila uzuri wako wewe ilukuwa ndani ya ndoa hawa ni mkorogo wa hatari.
 
Mi bana nipo tofauti na wengine! Wakitaka usalama kwenye hili wa do the nidful tu! Waongee na dr. Mambo yaishe! Wangekua na imani wanayo ihubiri kwa sasa wasinge fanya upuuzi huo! Agrrr!
 
Jambo muhimu la kujiuliza ni kuwa walitumia condom kwa lengo la kujikinga na nini,VVU au mimba.Kama ni VVU ina mmana ya kuwa walikuwa waangalifu lakini kama ni mimba kuna watu wanaamini katika kuchochea kwanza na kasi ikipatikana ndo anavaa condom:hapo kuna hatari ya viherehere kutangulia kabla ya mshindo mkuu.
Kuhusu matumizi sahihi ya condom wengi hatuyajui hata madaktari na jambo kubwa watu wanalosahau ni kuangalia expiry date ya condomu.Condomu iliyo expire ina uwezo mkubwa wa kuvujisha.Nina mtoto wa miaka minne aliyepatikana kwa condom iliyo expire.
 
dogo anapigwa changa la macho...yaani mimi na Nyanzala wangu tuna miaka elfu 8 sasa tunatumia condom mbona hajaniambia hata siku moja eti aisee maziwa yamekuwa meusiiiii...teh .dogo awe makini goli la mkono hilo
 
Muulize vizuri huyo ndugu yako jinsi alivyotumia kondom.

a) Je waligusanisha nyeti zao katika kuchezea chezea na kulainishana halafu ndio akavaa condom?
b) Au aliingiza kwanza halafu alipoona anakaribia kutoa maji ya uzima ndipo akavaa kondom?
c) Au hakuna hata wakati mmoja ambapo waligusishana nyeti bila condom?

Kama jibu ni NDIO kwa (a) au (b), mimba ni yake. kama ni HAPANA basi si yake
Kama jibu ni HAPANA kwa (C) mimba ni yake. Kama ni NDIO basi si yake.
 
Mi bana nipo tofauti na wengine! Wakitaka usalama kwenye hili wa do the nidful tu! Waongee na dr. Mambo yaishe! Wangekua na imani wanayo ihubiri kwa sasa wasinge fanya upuuzi huo! Agrrr!

Yaani waue?
 
Muulize vizuri huyo ndugu yako jinsi alivyotumia kondom.

a) Je waligusanisha nyeti zao katika kuchezea chezea na kulainishana halafu ndio akavaa condom?
b) Au aliingiza kwanza halafu alipoona anakaribia kutoa maji ya uzima ndipo akavaa kondom?
c) Au hakuna hata wakati mmoja ambapo waligusishana nyeti bila condom?

Kama jibu ni NDIO kwa (a) au (b), mimba ni yake. kama ni HAPANA basi si yake
Kama jibu ni HAPANA kwa (C) mimba ni yake. Kama ni NDIO basi si yake.

Thanx. Kwa uelewa wako mkubwa Haya yote niliuwaliza kiundani sana lakini mwanamke alikiri kuwa walizingatia yote kwa usalama wake zaidi ila hajui imetoka wapi.
 
wayoe mimba hiyo ili kunusuru ndoa zao wanasingizia imani za dini zao wakati tayari wameshavunja amri ya 6 ambayo ina nguvu sawa kabisa na amri ya usiue kwa hiyo naona kama dhambi tayari wanazo kisingizio cha imani sio issue tena. Hapo kama wakiacha hiyo mimba huyo mdada atatimuliwa na mume wake tena kwa kichapo maana hawana maelewano na huyo mkaka atakimbiwa na mkewe na bado dhambi ya uzinzi ina hukumu yake siku ya mwisho so kama kutoa watoe tu kuliko kutoitoa maana itakuwa msala mara mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom