Ana miaka 36 lakini nampenda sana

Ana miaka 36 lakini nampenda sana

Mi sielewagi kwa nini vijana wadogo huwa wakimuona mwanamke hata kama mwili na sura yake inaonesha ni mdogo wkachukua hatua ya kufahamiana na kuongea ukishajua amekuzidi umri sepaaaa kimbiaaaaaa. Utashangaa kijana ndo kwanza anataka kula denda na kupenyeza mikono katikati ya mapaja, na kutetema nashindwa kujizuia khaaaaaaa!!! kama unashindwa kujizuia mbona hujiharishiii!!!!!! Ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao wanaume wote wanaotoka na kutembea na wanawake waliowazidi umri.
Hivo na wewe mtoa mada hata sikuelewi hataa..................!!!

ila ninyi kutembea na vibabu sawa
 
Nikusaidie tu kidogo....

Men like experimenting. Na kuna wanawake watu wazima lakini ukiwaangalia moyo lazima ukwende mbio. Hivi unadhani ni vijana wangapi wa chuo watakataa wakipata nafasi kwa mwanamke kama Madam Ritha wa BSS?

Duuh hii ni kosa lqa kina baba kutowapeleka jando vijana wao wa kiume.
Kasie.
 
Hadithi hii inatufundisha tusikwepe majukumu yetu ya 6X6 kwa kusingizia vyeo...
eti kwa kuwa wewe meneja utegemee genye za mkeo zitamalizwa na pesa unayomkatia....
matokeo yake anatumia pesa yako kupata kipoozeo cha kando...

Huwa najiuliza wake za wanasiasa ambao kutwa wako field mfano hawa so called wapiga debe wa vyama ...wana maisha gani?
wana trade off pesa na familia

Yupo mdada namfahamu, yeye amekosana kabisa na mumewe, ndani hakukaliki kisa yule dada anautaka ubunge na sasa yeye ni mguu na barabara.. Pesa ni kitu kimoja, lakini naniliu haina mbadala, unless uwe tayari kupigiwa..
 
Bibi kutembea na kibabu haina shida, shida mtoto wa kiume aka kijana kutembea na bibi khaaaa!!! spit out!!...
Kasie

nahisi ujaelewa binti wa miaka 16 mpaka 25 kutembea na mzee wa miaka50 sawa
 
dogo mkewe wa mtu tutakupoteza mapema kabla hujarudisha pesa za mkopo
 
Mi sielewagi kwa nini vijana wadogo huwa wakimuona mwanamke hata kama mwili na sura yake inaonesha ni mdogo wkachukua hatua ya kufahamiana na kuongea ukishajua amekuzidi umri sepaaaa kimbiaaaaaa. Utashangaa kijana ndo kwanza anataka kula denda na kupenyeza mikono katikati ya mapaja, na kutetema nashindwa kujizuia khaaaaaaa!!! kama unashindwa kujizuia mbona hujiharishiii!!!!!! Ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao wanaume wote wanaotoka na kutembea na wanawake waliowazidi umri.
Hivo na wewe mtoa mada hata sikuelewi hataa..................!!!

Wanawake tuliowazidi umri wanasumbua sana ila wadada waliotuzidi umri hawasumbui wala hawatuchuni kama wasichana wadogo
 
Yupo mdada namfahamu, yeye amekosana kabisa na mumewe, ndani hakukaliki kisa yule dada anautaka ubunge na sasa yeye ni mguu na barabara.. Pesa ni kitu kimoja, lakini naniliu haina mbadala, unless uwe tayari kupigiwa..
Mkeo afanye kazi zote siyo siasa za Bongo...ukisikia mastori ya huko utashangaa...hata usowategemea nao wamo....maana ni toa kitu upate kitu...
 
nyumba kubwa

We kijana Natural handsome nakushauri uachane na huyo dada kwanza ni mke wa mtu halafu ni hatari sana kwa afya yako kumbuka kuna virusi vya ukimwi!
Pia wewe ni kijana mdogo sana una ndoto zako za kutimiza huyu Dada anaweza kuzikatisha!

Hivi ulitumia kinga?
Achana nae huyo Dada!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaa, kama umri wako uko above 45 years ntakupigia.

Kasie.

hahahaa huo sasa unyanyapaa kwasisi under 45. jamani nasi tunapenda mambo matamu from matured ladies. ebu nipigie bhana
 
hahahaa huo sasa unyanyapaa kwasisi under 45. jamani nasi tunapenda mambo matamu from matured ladies. ebu nipigie bhana

Ngoja ukue, hii kada ina hishma yake. Tatizo vijana wa below 45 hasa kwenye 30s ndo shidaaaaa yaani sijui wengi wao wamekula maharage ya wapii haoo..................... hahahahhaaaaaa
Jioni njema bana na Iftar njema wacha nikavae ushungi na dera nijiandae kufturu mie. Byeee keshoo
 
Ngoja ukue, hii kada ina hishma yake. Tatizo vijana wa below 45 hasa kwenye 30s ndo shidaaaaa yaani sijui wengi wao wamekula maharage ya wapii haoo..................... hahahahhaaaaaa
Jioni njema bana na Iftar njema wacha nikavae ushungi na dera nijiandae kufturu mie. Byeee keshoo

hahahaa apo kwenye red nimecheka sana. waweza pata uyo wa above 45 na still asikupe 'heshima' wala 'treatment' unayostahili. Haya mama, have an enjoyable fturu.

-kaveli-
 
Habari za mwanzoni mwa wiki,
.
Nimekuwa nikifatilia jinsi mnavyochangia kuwashauri wale waliogubikwa na mambo ambayo kwa fikra zao hawawezi kutoa maamuzi sahihi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 niko mwaka wa pili katika moja ya chuo kikuu kilichopo hapa Jijini.

Wakati niko kidato cha sita mwanzoni alitokea mwanamke aliyenipigia simu kumuuliza nani akaniambia ame wrong number,sikufatilia nikawa nimepotezea lakini akawa ananipigia mara kwa mara akidai ananijulia hali lakini kadili alivyokuwa ananijulia hali mara kwa mara nikawa nimejikuta namzoea sana na mimi inikawa nampigia simu.

Lakini kumbuka alikuwa anadai kakosea namba kwa maana hiyo alikuwa hanijui kwa maelezo yake hali kadhalika hata mimi nikawa simjui kwa maana sijawahi kumuona. Kadiri mda ulivozidi kwenda tukawa tumezoeana sana hadi ikafikia siku moja hivi jioni nilikuwa naongea nae akawa ameniuliza nikuite jina gani tofauti na jina lako halisi?

Nikawa sijamuelewa lakini akawa amenieleza kuwa anamaanisha aniite jina gani litakalovumisha au kuongeza thaman ya urafiki wetu? Kwa haraka sikuelewa alikuwa ameleng nini lakini upole nikawa nimemjibu kuwa lolote atakaloliona linafaa akawa ameniambia kuwa atafurahi sana endapo ataniita my only one.

Nikamuuliza unamaanisha nini akaniambia usijali najickia vizuri tu nikikuita hilo jina na kadili mda ulivozidi kwenda akawa anazidi kuniambia maneno matamu bila kujijua nikajikuta nimeingia katika dimbwi la mapenzi na huyo mtu. Mda wote tulivokuwa tunawasiliana siikuwahi kumuuliza taarifa yoyote kuhusu yeye ndo baada ya kuwa tuko kwenye mahusiano akawa ameniuluza kuwa unahisi nina miaka mingapi?

Kwa kweli kulingana na sauti aluvokuwa akiiremba nilifikiri ana miaka michache sana lakini nikawa nimemuambia ana miaka 30 akasema apana ana 34 akaniambia ameolewa na ana mtoto mmoja sikushituka sana kwavile mwenyewe nilikuwa nimeshazama akawa ameniamini sana tukawa tumeoanga mambo mengi likiwemo suara la kuzaa na mimi.

Baadae nilfunga nikawa nimerudi nyumbani nilifka kama leo usiku kutoka mkoani nilipokuwa nasomea kesho yake akawa ameniambia anahamu sana ya japo kuniona hata mimi nilikuwa na hamu ya kumuona tulipanga asubuhi sehemu ya kukutana kumbuka atujuani na kila mmoja anatamani kuwa wa kwanza kumuona mwenzake akawa ameniona na mimi nikawa nimemuona lakini akawa na hofu sana kuwa bado mdogo atukukaa sana.

Nikawa nimerudi nyumbani lakini alikuwa na umbo la kiutu uzima lakini kwakuwa nilikuwa nimempenda bila hata yakumuona nikawa nimekubaliana na hali lakini na kaahidi nafsi kuwa siitokutana nae kimwili ilikuwa ni msimu wa sikukuu alijtahidi sana kunishawishi nikutane nae kwa mara ya pili ili angalau ata anikumbatie baadae nilikubali, lakini nikamuambia kuwa hamna ata kugusana alikubali shingo upande.

Tulipokutana akannua kinywaji tukawa tunakunywa akaniauliza achukue chumba nikakataa nilkataa kata kata saanne tukawa tumeondoka siku nyingne akawa amenikamata tena kaniambia achukue chumba nikawa nimekubali akaniambia nikaulizie vyumba nikachukua kwa kweli nilchokipata ckuwah kukipata sehemu nyungne yeyote nilvutiwa sana nikawa nimeomba na kesho akakataa kuwa atakuwa bizy.

Nikarudi shule nimeendelea kuwasiliana nae kila siku baadae nikawa nimemaliza nikarudi home lakini mpaka leo hii nampenda naninamhitaji sana kiasi kwamba hisia kwa vijana wa rika yangu lakini badae aliniambia kuwa ameolewa na mme wake ni Meneja wa Benki moja hapa lakini yuko bize sana kiasi cha kuchukua hata miezi sita had inane ajapata haki ya ndoa

Naombeni ushauri wapendwa sijui naenda wapi

Nilikua najiuliza maswali mengi mtu kasoma mpaka form six, halafu bado chuo mwaka wa pili ana miaka 21??!!
Kumbe wakati huo ndo alikua form six na sasa kamaliza...
WanaJf muache kuwadiss sana hawa vijana wa Advance, ona sasa hadi wanaamua kujipachika "UCHUOKIKUU" hahaaaaaahaaa...

Kwakuwa umenitudanganya, sina cha kukushauri.
 
Back
Top Bottom