Ana miaka 36 lakini nampenda sana

Ana miaka 36 lakini nampenda sana

Mwanaume umeton.gozwa na mwanamke? Mi hapana, kwanza mwanamke mi napendaga nimsotee kidogo na sio Maharage ya Mbeya.
 
Mdogo wangu mke wa mtu hata akupendeje, akupeje, akulainisheje achana nae nilipitia hiyo njia naifahamu vizuri achana nae.

Nakwambia kwa upendo tu achana nae kabla hujajuta.
 
Bro hawa raia humu wanakutisha tu kwani c amajileta mwenyewe af watanzania bhana mnapeenda kulalia bahati za watu milango wazi! We endelea nae tu mpaka siku mwenyewe aseme imetosha ukumbuke yule ni mtu mzima na wewe ni mtu mzima so Ninyi nyote ni watu wazima
 
Back
Top Bottom