Huyu unadhani kapenda basi? Utoto tu unamsumbua, soma katikati ya mistari utaelewa nachokisema.Ndugu, Achana Kabisa na Huyo Mke Wa MTU.. Unajitafutia Matatizo.. Kwanza ni Dhambi Mbele za Mungu na ni Dhambi Mbele za Mume wake.. Kwaza Uzinzi sio kabisa. Kuna laana inayoambatana na Dhambi hyo. Pia Assume hyo ni Wife wako afu ukachapiwa!! Utajiskiaje? Achana na Huyo Mama badili Line ya simu ili asikupate.. Tulia piga kitabu.. Focus on priority Things abt U r Lyf.. Haya Mambo yapo tu.. Kwa Muda wako utapata wa Size yako.. Utaoa na wakati huo utakua umeshajiweka vizuri kimaisha. Najua ni ngumu kukubali hili coz umeshapenda lakin evryting in life z by Choice Ukiamua kufanya Maamuz Magumu UTAOKOKA. Stay Blessed
Mi sielewagi kwa nini vijana wadogo huwa wakimuona mwanamke hata kama mwili na sura yake inaonesha ni mdogo wkachukua hatua ya kufahamiana na kuongea ukishajua amekuzidi umri sepaaaa kimbiaaaaaa. Utashangaa kijana ndo kwanza anataka kula denda na kupenyeza mikono katikati ya mapaja, na kutetema nashindwa kujizuia khaaaaaaa!!! kama unashindwa kujizuia mbona hujiharishiii!!!!!! Ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao wanaume wote wanaotoka na kutembea na wanawake waliowazidi umri.
Hivo na wewe mtoa mada hata sikuelewi
Age is just a numbers only ,,,, I hope u do know what matters
hv umesema wewe ni "mchuo kikuu?"
Mi sielewagi kwa nini vijana wadogo huwa wakimuona mwanamke hata kama mwili na sura yake inaonesha ni mdogo wkachukua hatua ya kufahamiana na kuongea ukishajua amekuzidi umri sepaaaa kimbiaaaaaa. Utashangaa kijana ndo kwanza anataka kula denda na kupenyeza mikono katikati ya mapaja, na kutetema nashindwa kujizuia khaaaaaaa!!! kama unashindwa kujizuia mbona hujiharishiii!!!!!! Ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao wanaume wote wanaotoka na kutembea na wanawake waliowazidi umri.
Hivo na wewe mtoa mada hata sikuelewi hataa..................!!!