Ana miaka 36 lakini nampenda sana

Ana miaka 36 lakini nampenda sana

Habari za mwanzoni mwa wiki..
Nimekuwa nikifatilia jinsi mnavyochangia kuwashauri wale waliogubikwa na mambo ambayo kwa fikra zao hawawezi kutoa maamz sahih.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 niko mwaka wa pili ktk moja ya chuo kikuu kilichopo hapa jijini wakati niko kidato cha sita mwanzoni alitokea mwanamke aliyenipigia cm kumuuliza nani akaniambia amewrong number,sikufatilia nikawa nimepotezea lakn akawa ananipigia mara kwa mara akidai ananijulia hali lakin kadili alivyokuwa ananijulia hali mara kwa mara nikawa nimejikuta namzoea sana na mim nikawa nampigia cm lakin kumbuka alikuwq anadai kakosea namba kwa maana hiyo alikuwa hanijui kww maelezo yake hali kadhalika hata mm nikawa cmjui kwa maana cjawahi kumuona .
Kadil mda ulivozid kwenda tukawa tumezoeana xana hadi ikafikia cku moja hivi jion nilikuwa naongea nae akawa ameniuliza nikuite jina gani tofauti na jina lako halis?nikawa cjamuelewa lkn akawa amenieleza kuwa anamaanisha aniite jina gani litakalovumisha au kuongeza thaman ya urafiki wetu?kwa haraka ckuelewa alikuwa ameleng nin lkn upole nikawa nimemjibu kuwa lolote atakaloliona linafaa akawa ameniambia kuwa atafurahi sana endapo ataniita my only one nikamuuliza unamaanisha nn akaniambia ucjali najickia vzr tu nikikuita hilo jina na kadili mda ulivozid kwenda akawa anazid kuniambia maneno matamu bila kujijua nikajikuta nimeingia ktk dimbwi la mapenz na huyo mtu
Mda wote tulivokuwa tunawasiliana cikuwahi kumuuliza taarifa yoyote kuhusu yye ndo baada ya kuwa tuko kwenye mahusiano akawa ameniuluza kuwa unahis nina miaka mingap?kwa kweli kulingana na saut aluvokuwa akiilemba nilifikir ana miaka michache sana lkn nikawa nimemuambia ana miaka 30 akasema apana ana 34akaniambiavameolewa na ana mtot mmja sikushituka sana kwavile mwwnyew nilikuwa nimeshazama akawa ameniamn sana tukawa tumeoanga mambo meng likiwemo suara la kuzaa na mim bdae nilfungq nikawa nimerud nyumban nilifka kama leo ucku kutoka mkoan nilipokuwa nasomea kesho yake akawa ameniambia anahamu sana ya japo kuniona hata mim nilikuwa na ham ya kumuona tulipanga asubuh sehem ya kukutana kumbuka atujuani na kila mmoja anataman kuwa wa kwanza kumuona mwenzake akawa ameniona namim nikawa nimemuona lkn akawa na hofu sana kuwa bdo mdogo atukukaa xana nikawa nimerud nyumbn lkn alikuwa na umbo la kiutu uzma lkn kww kuwa nilikuwa nimempenda bila hata yakumuona nikawa nimekubaliana na hali lkn nakaahid nafs kuwa citokutana nae kimwil ilikuwa ni msimu wa ckukuu alijtahd sana kunishawish nikutane nae kwa mara ya pili ili angalau ata anikumbatie bdae nilikubalu lkn nikamuambia kuwa hamna ata kugusana alikubali shingo upande tulipokutana akannua kinywaj tukawa tunakunywa akaniauliza achukue chumba nikakataa nilkataa kata kata saanne tukawa tumeondoka cku nyingne akawa amenikamata tena kaniambia achukue chumba nikawa nimekubali akaniambia nikaulizie vyumba nikachukua kwa kweli nilchokipata ckuwah kukipata sehem nyngne yyote nilvutiwa san nikawa nimeomba na kesho akakataa kuwa atakuwa bizy nikarud xule nmeendlea kuwasiliana nae kila sku bdae nikaw nimemaliza nikarud home lkn mpaka leo hii nampenda nanamhitaji xana kias kwambcna hisia kwa vijan wa rika yangu lkn badae aliniambia kuwa ameolewa na mme wake ni meneja wa benk moj hpa lkn yuko bizy xan kias cha kuchukua hata miez sita had nane ajapata hak ya ndoa
NAOMBENI USHAURI WAPENDWA
SJIEKEWI NINAENDA WAP
Namuonea sana huruma mwalimu anayesahihisha mitihani yako, hasa ya lugha iliyokuja na meli.
 
We kijana kiboko. Kurasa mbili hakuna cha paragraph, koma wala nukta bali lisentensi limoja lirefu lenye korogesheni kibao. Unasoma Chuo gani? Ngoja niwasiliane na watu wa Guinness Book of Records. Yawezekana ikawa umevunja rekodi ya the longest sentence ever written.

Kuhusu ishu yako na huyo mama we endelea tu kuitandika hiyo mbunye mpaka siku utakapokamatwa laivu ujikute front page kwenye magazeti ya ngosha Shigongo ukiwa umejaa ngeu, pua iliyomeguka, jicho lililotobolewa na mwili uliopondeka. Komaa naye mpaka kieleweke. Stupid boy!
 
white rose unanipanilisha nishauri cha kufanya pls ningejua huja baada ya ssfari
 
Lord have mercy kijana ua young kuhangaika na mijimama iliyojilia na kujichokea maisha wewe ndo una mbeba tena mke wa mtu huna haya. Nahisi huyo mama anakuhonga hela unajiamije na maradhi, inaonyesha huyo mama si mzima ana date wengi.
You need total deliverance
 
wa nguvu usishangae 21 yrs kuwa mwaka wa pili inatokana na mazngra uliyokulia mkuu
 
Namuonea sana huruma mwalimu anayesahihisha mitihani yako, hasa ya lugha iliyokuja na meli.
Teh teh kizazi cha division five uploadfromtaptalk1436811332981.jpg
 
Rose Muhando aliimba "....na watoto wetu wa kiume tuwapeleke wapi jamani...". Yaani akipona kuwa bwabwa anadakwa juu na majimama. Maneno matamu yakamchengua mtoto wa watu. Wazazi tukaze buti watoto waweze kuwa na sound judgement.
 
Kajifunze kuandika kwanza mtoa mada. Ufesibuku uache hukooo . Jaribu kuandika ki GT. Kongosho njoo huku, naona dogo wa dotkomu hajakufahamu
 
Last edited by a moderator:
Mi sielewagi kwa nini vijana wadogo huwa wakimuona mwanamke hata kama mwili na sura yake inaonesha ni mdogo wkachukua hatua ya kufahamiana na kuongea ukishajua amekuzidi umri sepaaaa kimbiaaaaaa. Utashangaa kijana ndo kwanza anataka kula denda na kupenyeza mikono katikati ya mapaja, na kutetema nashindwa kujizuia khaaaaaaa!!! kama unashindwa kujizuia mbona hujiharishiii!!!!!! Ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao wanaume wote wanaotoka na kutembea na wanawake waliowazidi umri.
Hivo na wewe mtoa mada hata sikuelewi hataa..................!!!



Dating "an old lady" is a massive adventure Kasinde, let him enjoy joto la mdada... When you're younger, mature women are so attractive asee..!
 
Last edited by a moderator:
Mi sielewagi kwa nini vijana wadogo huwa wakimuona mwanamke hata kama mwili na sura yake inaonesha ni mdogo wkachukua hatua ya kufahamiana na kuongea ukishajua amekuzidi umri sepaaaa kimbiaaaaaa. Utashangaa kijana ndo kwanza anataka kula denda na kupenyeza mikono katikati ya mapaja, na kutetema nashindwa kujizuia khaaaaaaa!!! kama unashindwa kujizuia mbona hujiharishiii!!!!!! Ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao wanaume wote wanaotoka na kutembea na wanawake waliowazidi umri.
Hivo na wewe mtoa mada hata sikuelewi hataa..................!!!
Sasa kasinde mbona hata wewe unanizidi umri? Nikuiteje??!!!!!
 
Huyo ni sugar mamy tu. Nakushauri uachane naye uzingatie masomo. Jiandae kupata mke wako, huyo ni mke wa mtu, hatari.
 
Dating "an old lady" is a massive adventure Kasinde, let him enjoy joto la mdada... When you're younger, mature women are so attractive asee..!

Hizo adventure zao mie zisijenidondokea maana ntamkata mtu mitaa hadi ahsangae huyu jike au dume, tena nikiwa nimetoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango hahahaaa
Kasie.
 
Hakuna kitu kitamu duniani kama kudate na mwanamke aliekuzidi umri. Atleast amekuzidi kama miaka mitano au sita.
Older women watamu asikwambie mtu.

I'm addicted to this and i love this feeling.

Hakuna kitu kitamu duniani kama kudate na mwanamke aliekuzidi umri. Atleast amekuzidi kama miaka mitano au sita.
Older women watamu asikwambie mtu.

I'm addicted to this and i love this feeling.

Trust my words, older women ni watamu sana, hasa anizidi 5 years ivi. BTW... dada Kasinde, how old are you? Please just hit my inbox for the answer. :teeth:

Yaani nyie wote mnahitaji kukatwa mitama tena na Kasie hakyanani... wallahi tena.
 
Back
Top Bottom