Ana miaka 36 lakini nampenda sana

Ana miaka 36 lakini nampenda sana

Wazazi wanajinyima ili vijana wapate elimu...taifa linabana bajeti na kuongeza kodi ili kubalance bajeti ya wizara ya elimu ili tu vijana wapate elimu....walalahoi tunabinywa kodi kila idara ili ipatikane hela ya kuwasomesha wataalamu hatimaye waje walitumikie taifa...
Lakini bahati mbaya watu au vijana wanaohangaikiwa wala hawana mawazo ya kusoma zaidi ya kuwaza ngono tu wawapo shuleni..
Kitu ninachokukumbusha kijana ni kwamba nafsai uliyoipata ni moja kati ya nafasi adimu ambazo mamilioni ya vijana wenzako wameikosa hali ya kuwa wanaitaka....unatakiwa uitumie hiyo nafasi ipasavyo kwani huwa hazijirudii maishani na waliozichezea wote wanajuta sasa hivi......
TAKE CARE YOUNG BOY...
 
Inaelekea jimama lina nyama mpaka ukachanganyikiwa.. Btw kama ulienda peku ukumbuke KUPIMA afya!
 
Angalia maisha kwanza hivyo vitu vipo dogo kama anakujengea nyumba na kukupa mtaji bas vichukue halafu uachane nae maana mke wa mtu huyo
 
Subiri kuliwa kiboga mkuu mana hamna namna,mkiambiwa mke wa mtu sumu amuelewi
 
Yaani hata kama mngepishana wiki moja kwa kuwa mke wa mtu, kaa naye mbali ndugu.

Hata hilo la kuwa ana mume huogopi aisee
 
Mi sielewagi kwa nini vijana wadogo huwa wakimuona mwanamke hata kama mwili na sura yake inaonesha ni mdogo wkachukua hatua ya kufahamiana na kuongea ukishajua amekuzidi umri sepaaaa kimbiaaaaaa. Utashangaa kijana ndo kwanza anataka kula denda na kupenyeza mikono katikati ya mapaja, na kutetema nashindwa kujizuia khaaaaaaa!!! kama unashindwa kujizuia mbona hujiharishiii!!!!!! Ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao wanaume wote wanaotoka na kutembea na wanawake waliowazidi umri.
Hivo na wewe mtoa mada hata sikuelewi hataa..................!!!

Hahahahaahaha!!!

Mimi sijui ndo ungeni ng'ata kabisa!!
Maana naona wanawake over 25 huwa wametulia kiasi si kama kama wa umri wetu !!
 
Ila mtoamada hujui kuandika insha,, ama mlipokuwa lapili hamkufundishwa kuandika imla!!
 
Wazazi wanajinyima ili vijana wapate elimu...taifa linabana bajeti na kuongeza kodi ili kubalance bajeti ya wizara ya elimu ili tu vijana wapate elimu....walalahoi tunabinywa kodi kila idara ili ipatikane hela ya kuwasomesha wataalamu hatimaye waje walitumikie taifa...
Lakini bahati mbaya watu au vijana wanaohangaikiwa wala hawana mawazo ya kusoma zaidi ya kuwaza ngono tu wawapo shuleni..
Kitu ninachokukumbusha kijana ni kwamba nafsai uliyoipata ni moja kati ya nafasi adimu ambazo mamilioni ya vijana wenzako wameikosa hali ya kuwa wanaitaka....unatakiwa uitumie hiyo nafasi ipasavyo kwani huwa hazijirudii maishani na waliozichezea wote wanajuta sasa hivi......
TAKE CARE YOUNG BOY...

una uhakika gani wazazi wake wanajinyima ili wamlipie ada?acha ujima ndugu yangu
 
Ndugu, Achana Kabisa na Huyo Mke Wa MTU.. Unajitafutia Matatizo.. Kwanza ni Dhambi Mbele za Mungu na ni Dhambi Mbele za Mume wake.. Kwaza Uzinzi sio kabisa. Kuna laana inayoambatana na Dhambi hyo. Pia Assume hyo ni Wife wako afu ukachapiwa!! Utajiskiaje? Achana na Huyo Mama badili Line ya simu ili asikupate.. Tulia piga kitabu.. Focus on priority Things abt U r Lyf.. Haya Mambo yapo tu.. Kwa Muda wako utapata wa Size yako.. Utaoa na wakati huo utakua umeshajiweka vizuri kimaisha. Najua ni ngumu kukubali hili coz umeshapenda lakin evryting in life z by Choice Ukiamua kufanya Maamuz Magumu UTAOKOKA. Stay Blessed
 
Da! Hivi vyuo vikuu siku hizi sijui vinafundishaje yaani!
 
samahani lakini kama ntakuwa nimekupa presha, ila nahisi huyo ni yule mwanadada anayesambaza UKIMWI kwa watu kwa makusudi, amekuwa akitumia mbinu hyo na nyingine nyingi ili kuwapata wakaka na wababa, kama hamkutumia kinga, nenda fasta kapime, ili ujue kama unaishi kwa matumaini au la........
 
Back
Top Bottom