Dr. Mwigulu Nchemba
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 416
- 2,037
- Thread starter
-
- #441
Unitafute Insta tusaidiane, nipate CVMh. Mwigulu naomba connection na mimi niingie kwenye system hata nikianzia ngazi za chini sawa.
Elimu yangu Bachelor Degree nina IQ karibia namfikia Einstein.
Kwahiyo unatufanyia maigizo? wewe si umetualika tuulize chochote hapa?SIO KILA KITU KINAJIBIWA NA KILA MTU, NA KILA KITU NI PUBLIC
Hilo SIO la lazima mwanadam kujuaMimi naomba kukuuliza,je wewe ni Mkrristu,Muislam au mpagani?
Je hua unaungama au kutubu dhambi zako Kama wafanyavyo Waumini wengine?
NAONESHA MSISITIZO 😄😄😄😄😄😄
nimependa huu ujasiri ila Mhe unabagua maswali ya kujibu.. hebu tusaidie kujibu na yale mengineNdio maana nawambia tafuteni TAARIFA kabla ya kuandika. Mtafute Nondo umuulize nimemfanyia kitu kibaya au kitu chema. Abdul Nondo SI NI MEMBER HAPA, NA AJE ASEME NIMEMFANYIA KITU CHEMA AU KIBAYA
NITAJIBU KILICHO MWAFAKA KUJIBU, HIYO NDIO KANUNI YA VIAPO, MIMI PAMOJA NA KUWA MWANA JF but NI MBUNGEKwahiyo unatufanyia maigizo? wewe si umetualika tuulize chochote hapa??
Sent using Jamii Forums mobile app
ni lazima kweli ila ni muhimu maana ww ni kiongozi wa wananchi hasa kwetu sisi tunaotoka jimboni kwako. toa jibu acha kuweka siasa kila mahaliHilo SIO la lazima mwanadam kujua
Sawa kabisa Mkuu.Nyerere alikua Mkatoliki na alikua ana mtindo wa kuungama. Huyu kijana mdogo ana mengi Sana rohoni.kuna maswali mengine hata shetani anasubiri majibu ili ajue ndani nje ya mtu husika maana wanasiasa ni waongo sana
Sawa mkuu ngoja ni download Insta niku DM.Unitafute Insta tusaidiane, nipate CV
Sawa kabisa Mkuu.Nyerere alikua Mkatoliki na alikua ana mtindo wa kuungama.
Huyu kijana mdogo ana mengi Sana rohoni.
Alipokua waziri wa kike aliitwa Field Masrshal.Hakuitwa hivyo bure.Pia alikua Kamanda wa Green Guard.Ana mengi Sana ya kujenga na Mwenyezi Mungu.
elimisha wote huku jamvini mkuu maana mtu anapoanza kukutafuta ndo kumpoteza kunapoanza maana nyie kumwaga damu za watu mnaona ni jambo jepesi sana, ndo maana mnapopewa vyeo vya kuteuliwa mnakuwa vituko katika jamii mfano Kngi tu alikuwa kituko japo hata ww ulikuwa na vituko vyakoHilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.
SIO KILA KITU KINAJIBIWA NA KILA MTU, NA KILA KITU NI PUBLIC
debe lipo maana hata waswahili wanasema kizuri kula na mwenzio hivyo swala la kwenda mbinguni ni jambo jema na linapaswa kukumbushana na kupiga debe ni muhimu.Field Marshall, the BEST FIELD OFFICER. Rafiki yangu SHUGHULIKA NA NAFISI YAKO. KWENDA MBINGUNI HAKUNA MPIGA DEBE
Mhe.Mbunge,naomba kuuliza swali dogo la nyongeza,mbali na Ubunge wako,lakini wewe pia ni mwanajamii,yaani unaishi mtaani na jamaa wengine.NITAJIBU KILICHO MWAFAKA KUJIBU, HIYO NDIO KANUNI YA VIAPO, MIMI PAMOJA NA KUWA MWANA JF but NI MBUNGE