Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Mzalendo mvaa lebo za uzalendo :) utagombea tena tuanze kuandika majina yako kwenye mawe ya Kitonga na Singida..
#Mwigulu_Rais_2020...
#Twende_na_Mwigulu_2020


Everyday is Saturday.....................:cool:
 
Ndio maana nawambia tafuteni TAARIFA kabla ya kuandika. Mtafute Nondo umuulize nimemfanyia kitu kibaya au kitu chema. Abdul Nondo SI NI MEMBER HAPA, NA AJE ASEME NIMEMFANYIA KITU CHEMA AU KIBAYA
nimependa huu ujasiri ila Mhe unabagua maswali ya kujibu.. hebu tusaidie kujibu na yale mengine
 
kuna maswali mengine hata shetani anasubiri majibu ili ajue ndani nje ya mtu husika maana wanasiasa ni waongo sana
Sawa kabisa Mkuu.Nyerere alikua Mkatoliki na alikua ana mtindo wa kuungama. Huyu kijana mdogo ana mengi Sana rohoni.

Alipokua waziri wa kike aliitwa Field Masrshal.Hakuitwa hivyo bure.Pia alikua Kamanda wa Green Guard. Ana mengi Sana ya kujenga na Mwenyezi Mungu.
 
Sawa kabisa Mkuu.Nyerere alikua Mkatoliki na alikua ana mtindo wa kuungama.
Huyu kijana mdogo ana mengi Sana rohoni.
Alipokua waziri wa kike aliitwa Field Masrshal.Hakuitwa hivyo bure.Pia alikua Kamanda wa Green Guard.Ana mengi Sana ya kujenga na Mwenyezi Mungu.

Field Marshall, the BEST FIELD OFFICER. Rafiki yangu SHUGHULIKA NA NAFISI YAKO. KWENDA MBINGUNI HAKUNA MPIGA DEBE
 
Hilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.
elimisha wote huku jamvini mkuu maana mtu anapoanza kukutafuta ndo kumpoteza kunapoanza maana nyie kumwaga damu za watu mnaona ni jambo jepesi sana, ndo maana mnapopewa vyeo vya kuteuliwa mnakuwa vituko katika jamii mfano Kngi tu alikuwa kituko japo hata ww ulikuwa na vituko vyako
 
SIO KILA KITU KINAJIBIWA NA KILA MTU, NA KILA KITU NI PUBLIC

Nimekuuliza kuhusu rafiki yako Ben mwana wa saa 8, nimekufuata hata inbox lkn mpk Sasa sijampata jibu..

Hivi uwa unakwenda kulala na kupata usingizi kabisa, ukiwa na amani rohoni pale unapokumbuka vifo vya wa tanzania wenzako hasa vya kwenye viroba, Ben, na Azory wakati wewe ndo ilikuwa na dhamana ya kulinda maisha yao na Mali zao?

Hv dhamira yako haikusukumi kuona kuwa hakuwajibika kama kiongozi mwenye dhamani kwa huu unyama uliotokea?

Hv madaraka, vyeo, uongozi ni bora kuliko utu wa binadamu mwenzio kama Utu wa binadamu ni bora na Muhimu ni nini kinakusukuma kugombea tena ubunge Hali umeshindwa kulinda maisha ya wa tanzania na Mali zao?

Watoto wa Azory, mtoto wa Ben hawana baba na inavyoonekana hawatawaona tena hiki kitu hakikuumi na kuona kuwa wewe si kiongozi bali labda unakipawa cha kufanya kazi nyingine? Utu wako huko wapi, ubaba wako huko wapi, ukaka wako huko wapi?

Wanasiasa wa Tanzania mjifunze kuwajibika pale unapoona umefanya unyama kama ulivyofanya kipindi chako kuna maisha baada ya siasa...
 
Field Marshall, the BEST FIELD OFFICER. Rafiki yangu SHUGHULIKA NA NAFISI YAKO. KWENDA MBINGUNI HAKUNA MPIGA DEBE
debe lipo maana hata waswahili wanasema kizuri kula na mwenzio hivyo swala la kwenda mbinguni ni jambo jema na linapaswa kukumbushana na kupiga debe ni muhimu.
 
NITAJIBU KILICHO MWAFAKA KUJIBU, HIYO NDIO KANUNI YA VIAPO, MIMI PAMOJA NA KUWA MWANA JF but NI MBUNGE
Mhe.Mbunge,naomba kuuliza swali dogo la nyongeza,mbali na Ubunge wako,lakini wewe pia ni mwanajamii,yaani unaishi mtaani na jamaa wengine.

Je inapotokea mtaani kwako KAFA mtu mzima au mtoto hua unaguswa kwa machungu na maumivu Kama wafiwa au raia wengine waguswavyo?

Ni Hilo tu mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom