GTbitimkongwe, umesoma oysterbay au bunge? manake
mzimuni primary tulisoma omari hodari au sansana
juma na roza lol
bitimkongwe, umesoma oysterbay au bunge? manake
mzimuni primary tulisoma omari hodari au sansana
juma na roza lol
kwa mzunguuu kwa mzunguu zunguuuuu zunguuuu
tukalala tukalala lala lala
si
hii ilikua raha maana mtu unabingirika kwa maringo hadi chini.turinge baiyoyo x 2
Twamuomba dada..... Aje hapa tuyaone maringo yake
Bingiribingiri mpaka chini...........
(Tukawinde vipepeo) x2
ai ai wa vipepeo vipepeo!
Mbuga za wanyama tanzania,
Ya kwanza ni serengeti, ngorongoro manyara na mikumi
oooh tanzania oyeee!
Head and shoulders
Knees and toes
Knees and toes.....
Hahaha mbu hii ni noma halafu tulikua twaimba kwa sauti! Meno meno pii kiu ala esti yu vi......dah,
naona leo mmekumbushana enzi za "...meno meno pikyu..." (L, M, N, O, P, Q) hapa!
Safi sana, tumetoka mbali. :thumb:
J'2 imeisha vizuri, kesho wiki mpya
Unaikumbuka salamu hii?? Siiiiiiiiiiiiiaaaaaaaasssssa ya ubaguzi wa rangi ni unyama, shiiikamooooo ndugu mwaaaaalliiiiimu!!!! tuulikuwa tunavuta weeee hadi inaboa!!