Amwagia tindikali kwa kuhisi anatembea na mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amwagia tindikali kwa kuhisi anatembea na mkewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 24, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,158
  Likes Received: 5,589
  Trophy Points: 280
  Jamaa mmoja kutoka songea aitwaye kanuhumba
  amemwagiwa tindikali na mmoja wa watu wanaemuhisi
  anatembea na mke wake...akionyeshwa kwenye taarifa ya habari tbc jamaa huyo ambae alikuwa anahuzunisha kwa jinsi ngozi ilivyoaribiaka na kibaya zaid tulipoona mti uliomwagikiwa pia hiyo tindikali umekauka kabisa sasa tukajiuliza kama mti hivi binadamu ameumiaje..kijana huyo ambae alimwagiwa amehamishwa hospital nyingine baada ya kuwaeleza ndugu zake aliemmwagia ni mmoja wa ma dk wa hiyo hospital aliolazwa..akaogopa kupewa sindano ya sumu

  kijana huyo amelalamika kwa huzuni hajawi kutembea na mkewe mhusika zaidi ya kuwa na uhusiano wa kibia.......
  Haya kazi kwetu tutafanya na baba zetu sasa biashara
   
 2. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mke wa mtu sumu!mmh
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,158
  Likes Received: 5,589
  Trophy Points: 280
  Sasa sijui watafanya na nani jamani ???
  Heri uwe na mambo ys kimalawi kuliko ukutwe na mwenye mke live!!!
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  was this the best he could do?
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole sna
   
 6. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  halafu ukute mshkaji hana hatia kama mwenyewe anavyodai....
   
 7. m

  matambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  edit heading iwe amwagiwa otherwise yeye ndo alotenda
   
Loading...