Amwacha mumewe na dadake uchi barabarani

Amwacha mumewe na dadake uchi barabarani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,086
Reaction score
34,883
140722022625_dating_naked_304x171_discoverychannel.jpg

Wawachwa uchi

Mwanamke kwa jina Ting Su nchini Uchina alimwacha mumewe na dadake bila nguo barabarani baada ya kuwapata wakifanya mapenzi Ting Ting Su aligundua kwamba mumewe alikuwa

akimdanganya na dadaake na kuwafuata hadi katika kituo kimocha cha maduka akitumia teknologia katika simu yake ambapo aliwapata wakichemshana katika gari la mumewe.

Wawili hao walitoka ndani ya gari hilo bila nguo kwa kubabaika ili kujaribu kumuelezea kilichokuwa kikendelea lakini waliwachwa na mshangao mkubwa wakati Ting alipoingia ndani ya gari hilo na kuondoka kwa haraka na kuwawacha wawili hao barabarani bila nguo.

Kulingana na gazeti la Metro,shahidi aliyejulikana kama You Meng alisema walioshuhudia kisa hicho walibeba simu zao na kuanza kuchukua picha na yeye hakubakia nyuma.

Mumuwe aligonga dirisha la gari hilo na kumpigia kele mkewe lakini hakujali kamwe aliliondosha gari hilo kwa haraka.

Chanzo:BBC
 
Naona hiyo picha ni kwa hisani ya discovery channel,anyway hizo ndo faida za kuchepuka acha wapigwe picha tu.
 
Kwanza mnaleta magazeti ya udaku hapo, afu pili msidhani wote tunapenda kutazama wanawake/wanaume wakiwa uchi.

Hizo picture zinaonyesha wote hao sio wachina. Mwanaume na mwanamke wote ni wazungu.
 
Mke ni Ting ambae ni Mchina lakini mume inaonekana ni Mzungu na hapo anaonekana na dada yake ambae nae ni mzungu pia!
Kiongozi, ndio maana hata ile kitabu yao inawasumbua sana. Kaazi kwer kwer
 
Kiongozi, ndio maana hata ile kitabu yao inawasumbua sana. Kaazi kwer kwer
Tazama na huyu hapa chini Mtumishi ....

Yeye amekariri tu mwanamke wa Kichina ni lazima aolewe na mwanaume wa Kichina

Kwanza mnaleta magazeti ya udaku hapo, afu pili msidhani wote tunapenda kutazama wanawake/wanaume wakiwa uchi.

Hizo picture zinaonyesha wote hao sio wachina. Mwanaume na mwanamke wote ni wazungu.
 
Tazama na huyu hapa chini Mtumishi ....

Yeye amekariri tu mwanamke wa Kichina ni lazima aolewe na mwanaume wa Kichina
Kiongozi, yaaani ni kaaaaazi kwer kwer hawa. Bichwani mwao ni watupu hawa.
 
Naomba ufafanuzi huyo dada ni wamume au wa mke? namaanisha jamaa anamega shemeji yake? au wifi mtu anajisevia kaka yake?
 
Habari inasema waliachwa barabarani lakini hapo ni porini, au picha kwa hisani ya maktaba.
 
Habari inasema waliachwa barabarani lakini hapo ni porini, au picha kwa hisani ya maktaba.

wamepigwa picha kwa mbele ndo maana unaona pori wangepigwa kwa nyuma ungeona barabarani
 
Naomba ufafanuzi huyo dada ni wamume au wa mke? namaanisha jamaa anamega shemeji yake? au wifi mtu anajisevia kaka yake?

Nadhani hilo ndo jibu. Hao wadhungu ndo walikuwa wanafurahishana baada ya huyo mchina ku china. Da mtu akaona amsaidie ka yake
 
Back
Top Bottom