Amsha amsha ya UKAWA nchi nzima kuanza Jumatano 12/05/15

Ally bananga alikuwa muheza kujenga cdm 08/5/15 muheza ni tanga
 
Ukawa wengi misukule..fuata upepo. Wanaofaidika ni mbowe.slaa..lipumba na mbatia
 
Kuna taarifa muhimu ambazo punde zitatoka viongozi wakuu wa ukawa watapita mikoa 18 kwenye opareshi okoa tanzania

mgawanyo wa timu kabambe na vikosi maalum vya majembe ya ukawa vitapita ardhini na angani kushambulia wilaya kwa wilaya na kata kwa kata

lengo kuhasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura bila kusubiri siku yawisho

Kijeba1:
Ni ushauri wetu kuwa ziara hiyo iwe ya kimkakati zaidi. Iwe na yenye lengo la kutoa tija(quality) na sio kupata watu wengi wa kuhutubia. UCHAGUZI NI NUMBER. Muda huu si wa kutafuta hadhira kubwa ya kuhutubia. Huko mikoani nendeni vijijini kabisa. Heri mkutano uhutubie watu miambili kijijini ambao utakuwa umewaachia mbegu ya mabadiliko kuliko kuhuhutubia watu maelefu ambao walishapokea mabadiko siku nyingi. Acheni kuremba! Wenzenu CCM wako wanatengeneza software ya matokeo kwenye koti la NEC.
Hakikisheni zoezi la kujiandikisha litakapomalizika angalau muwe mnajua idadi ya wenu waliojiandikisha nchi nzima. Hii itawafanya mfanye prediction ya matokeo.
 
Kiongozi asante kwa Maoni yako lakini nikujulishe tuu kwenye mkakati wa Ukawa huu ni mwaka wakushika dollar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom