Amri kumi kwa wapendao ofa

Amri kumi kwa wapendao ofa

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi
KUMBUKA……Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba…kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.
 
Last edited by a moderator:
Nitake radhi haraka sana kwenye ukurasa wa kwanza wa gazeti la chit chat
Mpenda ofa hapa ni Erickb52 na mumeo wa kubandika Nicas Mtei
Mimi na watu8 ni watoa ofa hata wewe ukija utapata kila unachotaka ila malipo ni hapo kwa hapo

Hahahahaha..... Sikutaki nenda mahakamani
 
Nimempa sana watu8 ofa hadi akakubali nimchukue mwanaye. Na Mamndenyi naye amefaidi sana ofa zangu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha..... Sikutaki nenda mahakamani

Naenda kumuona Ruttashobolwa aniwakilishe kwenye hii kesi na nampa ofa ya kukutembelea kwako

Tena Nicas Mtei umkome kabisaaaa.....kama bado unayapenda meno yako

Wapi sweetlady mume wa kubandika tuu huyo tunamjua mumeo halisi ni nani hapo unamchuna tuu Nicas Mtei

na mimi naomba ofa......

mhh FP wewe sema ofa gani unataka hata kama ni ya kwenda kutalii Hawaii utapata

Nimempa sana watu8 ofa hadi akakubali nimchukue mwanaye. Na Mamndenyi naye amefaidi sana ofa zangu.

Ilikuwa enzi hizo anakuchuna tuu wala alikuwa hana mpango na wewe ukajipendeleza weee mpaka ukauza kivitz chako kisa umpate na akakutosa vile vile
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom