Amplifier wataalam nisaidieni

zakayoyoung

Senior Member
Apr 9, 2019
140
38
Nataka nifaham jinsi ya kuziunganisha ic mbili za tda moja itumike kama woofer nyingine itumiKe kama tuita wakuu nisaidieni wajuzi
IMG_20190506_213331.jpg
IMG_20190506_213319.jpg
 
Umejaribu google ukakosa chochote?
Nimeangalia Google lakini sircuit zote ni ndogo ni za IC mojamoja tu

Mimi tataka nitumie IC mbili za tda2030 nimecheki michoro yote michache inatumia IC mbili lakini kwenye niliyoiona kwa huku kwetu component zake hamna mkuu na sana sana kinachonisumbua ni resister aina ya ohm860 ndiomaana nataka mchoro ambao hautumii hii resister mkuu nisaidie kama kuna uwezekano
 
Nimeshaipata brother na tiyari nimeshaiunga inatoa output watt 60 nimetumia IC tatu mkuu


Afu ndo nataka nikainunulie audio resive ya Bluetooth ase sijui shi ngapi ase hebu nambie
Angalia aliexpress hope utapata ningekuwa na idea na unachokifanya ningejua ni kipi ila ubaya sina idea na hizo mambo hivo ukacheck mwenyewe tu.
 
Ok sawa mkuu hebu nielekeze nitumie transistor za aina gani zilizo nzuri zaidi mkuu nakuomba unielekeze
 
Nitumie transistor za aina gani mkuu
Mkuu utahangaika sana!! bongo sasa hivi mnaoumiza kichwa kwa mambo makubwa mmebaki wachache wengi wamekimbilia kwenye habari za udaku, sijui bishop, siju kln, na mambo kadha wa kadha
 
Mbona kama nimekuwa interested na hii kitu ngoja ni_review makablasha yangu
 
Mkuu utahangaika sana!! bongo sasa hivi mnaoumiza kichwa kwa mambo makubwa mmebaki wachache wengi wamekimbilia kwenye habari za udaku, sijui bishop, siju kln, na mambo kadha wa kadha
Wale achana nao si tuangalie feature zetu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom