zakayoyoung
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 140
- 38
- Thread starter
- #21
Asante sana mkuu nashukuruHongera kuwa na moyo wa kutaka kujifunza Mkuu.
Kwa kuanzia, jaribu hii:
Naona na wewe haya mambo ya amplifier unashughulikaga nayo et. Mkuu
Asante sana mkuu nashukuruHongera kuwa na moyo wa kutaka kujifunza Mkuu.
Kwa kuanzia, jaribu hii:
Asante mkuu .....afu na we hizi kazi unafanya sana et? MkuuHongera kuwa na moyo wa kutaka kujifunza Mkuu.
Kwa kuanzia, jaribu hii:
Circuit inatumia output stage transistors za aina tofauti kukamilisha mfumo uitwao "Complementary pair" ya push-pull amp. Ni rahisi sana ukiielewa. Wakati nusu ya amp inayotumia transistor za NPN inapokuwa ON kwenye half-cycle ya sound wave, nusu nyingine ya amp itumiayo transistor za PNP inakuwa iko OFF, baadaye zinabadilishana; iliyokuwa ON inakuwa OFF ana iliyokuwa OFF inakuwa ON, ndo maana ya push-pull.Pia nataka nikuulize mbona hio sircuit ulonitumia ni inatumia transistor za tofauti tofauti je kwa mfano nikitumia za aina moja katika hio sakti natafanikiwa kweli au la! Mkuu
Asante sana mkuu ningependa unisaidie nambaako ya WhatsApp ili ujijuze vizuri maana NPN na PNP bado zinanichanganya mkuu .Circuit inatumia output stage transistors za aina tofauti kukamilisha mfumo uitwao "Complementary pair" ya push-pull amp. Ni rahisi sana ukiielewa. Wakati nusu ya amp inayotumia transistor za NPN inapokuwa ON kwenye half-cycle ya sound wave, nusu nyingine ya amp itumiayo transistor za PNP inakuwa iko OFF, baadaye zinabadilishana; iliyokuwa ON inakuwa OFF ana iliyokuwa OFF inakuwa ON, ndo maana ya push-pull.
Lakini pia waweza kutumia transistor za kufanana kwa kufanya mabadiliko kidogo kwenye circuit iliyotangulia kwa kubadili position ya R11, R13,Q5 na Q7, pia kubadili Q7 iwe NPN badala ya PNP, ili kupata circuit iliyo kwenye attachment hapo chini:
Angalizo: R10 na R11 ziwe 0.5W
Inabidi uache kwanza kuunda amplifier, usome kwanza basics za electronic components ndo uje uendelee na uundaji wa amplifier, la sivyo, utauona uundaji kuwa mgumu. Tutorials ziko nyingi on-line.Asante sana mkuu ningependa unisaidie nambaako ya WhatsApp ili ujijuze vizuri maana NPN na PNP bado zinanichanganya mkuu .
Ase shule za etectranic kwa huku kwetu singida sizani mkuu..ila m naimani mwepesi wa kuelewa maana hivi vitu nimeanza tangu 2013 japokua sijasomea ila components nyingi nazifahamu pia nafahamu namna ya kuuisoma mchoto ya sircuit za amplifier ila kinachonitatizaga na ndicho kinachonifanya nikazanie sana ic za tda ni kwa sababu transistor bado sizijui zile NPN na PNP ila na imani nikizifahamu vizuri itakua vizuri sanaInabidi uache kwanza kuunda amplifier, usome kwanza basics za electronic components ndo uje uendelee na uundaji wa amplifier, la sivyo, utauona uundaji kuwa mgumu. Tutorials ziko nyingi on-line
Hongera sana Mkuu kwa juhudi unazoonyesha kujifunza electronics, ndo maana nimeamua kukuwekea mchoro ambao ni rahisi. Hakuna haja ya kwenda shule kusoma electronics, ila soma tutorials na vitabu vya electronics tu utapata mwanga. Suala la kukufundisha kwa whatsapp tatizo ni muda, leo nimepata muda kidogo baada kukaa idle kwa siku nzima.Ase shule za etectranic kwa huku kwetu singida sizani mkuu..ila m naimani mwepesi wa kuelewa maana hivi vitu nimeanza tangu 2013 japokua sijasomea ila components nyingi nazifahamu pia nafahamu namna ya kuuisoma mchoto ya sircuit za amplifier ila kinachonitatizaga na ndicho kinachonifanya nikazanie sana ic za tda ni kwa sababu transistor bado sizijui zile NPN na PNP ila na imani nikizifahamu vizuri itakua vizuri sana
Kwahiyo kama kuna uwezekano hata kwa WhatsApp waweza ukawa unanifundisha ukipata mdaa nami niwe hata nakulipa mkuu kwa makubaliano maalumu au unaonaje mkuu
La! Yani haya yote sababu naipenda sana electronic ya mambo kama haya na na imani nikizijua namna ya kuzisoma hizi transistor yan amplifier nitakua tiyari maana ndoto yangu ilikua nitengeneze amplifier baada ya hapo nitengeneze na ile audio system yenye fm na mp3 player ili kukamilisha kabisa aniHongera sana Mkuu kwa juhudi unazoonyesha kujifunza electronics, ndo maana nimeamua kukuwekea mchoro ambao ni rahisi. Suala la kukufundisha kwa whatsapp tatizo ni muda, leo nimepata muda kidogo baada kukaa idle kwa siku nzima.
Kwa upande wa mafunzo, wasiliana na TransistorLa! Yani haya yote sababu naipenda sana electronic ya mambo kama haya na na imani nikizijua namna ya kuzisoma hizi transistor yan amplifier nitakua tiyari maana ndoto yangu ilikua nitengeneze amplifier baada ya hapo nitengeneze na ile audio system yenye fm na mp3 player ili kukamilisha kabisa ani
Ila mi bado nakuomba hala uwe unanifundisha kwa masaa japo ma Wili kwa siku nitakua makini mkuu nisaidie
Hongera sana hii circuit nilisha wahi kuijenga japo ni zamani sana na mm pia ni mdau wa electronic engineering japo nilibadili na kuingia FinanceHongera kuwa na moyo wa kutaka kujifunza Mkuu.
Kwa kuanzia, jaribu hii:
Asante sana bn silicon valley..Hongera sana hii circuit nilisha wahi kuijenga japo ni zamani sana na mm pia ni mdau wa electronic engineering japo nilibadili na kuingia Finance
Siku hizi ni rahisi sana kwa project kama hizi. almost kila kitu kimerahisishwa na kinapatikana japo ni ngumu sana kutengeneza pesa, Fatilia hizo link hapo chini naamin utafuahia :
Electronic Circuits for Amplifiers Main Pageselect the topic of interest
Electronic Circuits or schematics for Amplifiersselect the topic of interest. Discovercircuits is a resource for engineers, hobbyists, students and inventors. Select topics of audio, buffer, differential, high frequency, high gain, high impedance, etc Amplifier circuits, schematics or...www.discovercircuits.com
Nimeshaipata brother na tiyari nimeshaiunga inatoa output watt 60 nimetumia IC tatu mkuu
Afu ndo nataka nikainunulie audio resive ya Bluetooth ase sijui shi ngapi ase hebu nambie
Nambie mkuu....
nataka unipe pindi na Mimi niwe mzoefuNambie mkuu....
Wewe tu mbona rahisi tu mkuu ni kuamua tu.Kama ukiwa tayar we nambie tuanzenataka unipe pindi na Mimi niwe mzoefu
tuanze mi napenda sana nijue hayo mamboWewe tu mbona rahisi tu mkuu ni kuamua tu.Kama ukiwa tayar we nambie tuanze
Umesha wahi kujifunza katika level yoyote angalau basictuanze mi napenda sana nijue hayo mambo