Nimfanyaje huyu?

Peribus

Member
Nov 28, 2021
89
152
Wasalamu wapendwa, mabibi na mabwana ! Itifaki imezingatiwa.
Niende Moja kwa moja kwenye mada

Kuna Binti namtongoza Sasa ni mwaka umepita, majibu yake ni kuwa ana mwanamme. Lakini hakosi kunitafuta,Kuna kipindi Huwa namsusa lakini utakuta kanitafuta na kunilaumu kuwa simtafuti naishia kumwambia niko busy. Tunaendlea kuchati namtongoza Tena majibu yaleyale ana mpenzi.

Wiki mbili zilizopita kaanza kuniita baby,baby, namwitikia tunachati tu, X-mas nmemtoa out huyo kaja nkamnunulia nguo, na urembo mbalimbali apendeze .

Jana nmemtongoza Tena, majibu yakawa vilevile, ana mtu labda niwe mchepuko, nkakaushia. Kanipigia mchana kanipa hai, jioni hii pia kanicheki kuwa anaumwa ,kauliza nmekula? na blaa nyingine.

Naombeni mbinu, za kumpata mazima ,nataka nimuoe kabisa,ndo mana simpotezei sana, nisaidieni mbinu zozote Ili nipunguze matumizi ya maneno. Hapigi mizinga hata out nmeamua mwnyewe, hata Masai mwenye zile dawa anicheki inbox .🙏
 
Una miaka mingapi?

Hapo yupo tayari akupe mzigo (****) ila wewe unataka mahusiano.

Chapa pita hivi. Mahusiano ya pekee ni wewe na Mungu. Mengine mapitio.
 
30 bado hivi vitoto vinakuhangaisha

Mwanamke wa kuolewa hujui sifa zake?

Mbona huyo binti anayekuchanganya kichwa mbona hana sifa za kuwa mke wa mtu unamngangania wa nini?

USHAURI WANGU MUACHE ILI USIJUTE HUKO MBELENI
Pa1

Pamoja sana, nipe mbinu hata za kumkula kimasihara nijipongeze kwa usumbufu
 
Back
Top Bottom