Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,548
- 89,418
- Thread starter
- #61
Acha story za kufikirika wewe Robert Heriel
Njoo kitaa ujionee mambo huku. Baba D alipelekwa hospitalini, kazinduka asubuhi
Acha story za kufikirika wewe Robert Heriel
Mleta mada hujui faida ya ndege kwa mtu wa kawaida?
Kila tiketi ya ndege abiria anayonunua kuna kodi ya serikali.Hiyo kodi ndio inatumika kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali nduguzo pia ndio inajenga zahanati,kutoa mikopo walimu ya juu,mikopo kwa akina mama na vijana ,kutengeneza barabara no
Faida ya ndege si tu kwa mpanda ndege!! Kodi ya kila tiketi ya mpanda ndege inamshukia mwananchi wa kawaida .N.a. hujusanywa ukikata tiketi tu
Chadema kwa hoja hizi mna safari ndefu ya wapiga kura kuwaelewa.
Mna hoja za Kyoto
Nenda usukumani hadi mtaani wanajua faida za ndege sababu hubeba samaki zao walizovua na wanazouza kupeleka Dar es salaam na nje ya nchi.
Ulichoandika cha kutunga halafu cha Kitoto kisicho na hoja
Ana dalilii ya ukichaa. Ukisoma alivyoandika unaona wazi ana tatizo la kiakili
Mwambie Mama D wanawake wenzake wanajishughulisha na sio kuwa magoli kipa a.k.a kaseja(kutegemea waume),au kama vp amchague Hashim Rungwe ale wali nyama.
Una wazimuNjoo kitaa ujionee mambo huku. Baba D alipelekwa hospitalini, kazinduka asubuhi
Duuh!!! Hii kali na si ajabu wote ni mashabiki tu wa vyama ambao hamna anaewatambua huko vyamani.
Pole kwao.
Sijui unazungumza nini mkuu! kwani hapo huyo Baba D kakataa kumtunza mkewe na wanae? ukileta maswala ya dini basi rizki inatoka kwa Mungu na kila mtu ana rizki sasa huyo mama D anaona tabu kula sijui mchichs wakati kuna wengine hata huo mchicha hawaupatia, au alikuwa anataka mumewe akaibe?Unazijua sheria za nchi lakini?
Unajua sheria za dini?
Wajibu wa Mume ni kumtunza mke na watoto, hiyo ni sheria ya nchi na dini zote. Sasa kabla hatujamwambia huyu mwanamke mkora, lazima tujaribu kubadili vifungu vya sheria vinavyosema mwanaume/mume anapaswa amtunze Mke
Sidhani hapo kama kisa ni siasa nachoona ni huyo mama analalamika tu ugumu wa maisha na ujinga wa mumewe,maana kama wangekuwa na maisha mazuri kusikuwa na huo mzozo.Mimi sijakataa, ila kitendo cha cha Mama D kumpiga Mumewe kisa Siasa hakijanipendeza.
Alafu kauli yake mbaya sana ni ile kusema ati kata zima hakuna aliyewahi kupanda ndege.
Faida ya ndege ipo, ila utamuelezaje Mama D hiyo faida
Sijui unazungumza nini mkuu! kwani hapo huyo Baba D kakataa kumtunza mkewe na wanae? ukileta maswala ya dini basi rizki inatoka kwa Mungu na kila mtu ana rizki sasa huyo mama D anaona tabu kula sijui mchichs wakati kuna wengine hata huo mchicha hawaupatia, au alikuwa anataka mumewe akaibe?
Kwa hiyo unataka kusema zile familia zote zinazo pitia ugumu wa maisha Ma Baba wa hizo familia ni Wajinga kama Mama D anavyomuona Baba D!?Sidhani hapo kama kisa ni siasa nachoona ni huyo mama analalamika tu ugumu wa maisha na ujinga wa mumewe,maana kama wangekuwa na maisha mazuri kusikuwa na huo mzozo.
Hali za kimaisha hutofautiana na ndiyo maana nikasema kuna wengine hata huo mchicha haupati ambao wewe unaita majani ya porini,na narudia tena kuwa rizki inatoka kwa Mungu na ndiyo maana tunaweza kuwa wote tunajituma kwa bidii iliyo sawa katika kutafuta pesa ila mwisho wa siku kila mtu anapata rizki yake tofauti na mwenzio kwa maana kila mtu ana rizki. Na ndiyo maana Mungu anatutaka tusaidie masikini maana wale kuwa masikini sio kwamba ni wajinga au hawajishughulishi ndio maana hawapati rizki.Mimi sijui, huenda Mama D katuzidi akili mimi na wewe kama hatuelewi alichompigia Mume wake.
Kuhusu kumtunza,
Huwezi mlisha mtu majani ya porini alafu ukasema unamtunza, wanawe kawatelekeza kwa mama yake huko kijijini, kisa kashindwa kuwalea, bado hujaona hoja ya Mama D, huenda katuzidi akili.
Kuhusu imani, Riziki haitoki kwa Mungu, bali Mungu anakupa nguvu za kupata Riziki. Ukiona Umeamka na Afya njema basi jua Mungu kesha bariki siku hiyo, wewe fanya kazi upate mshiko.
Ukiona hupati basi jua kuna adui anasababisha usipate, Adui anaweza kuwa wewe mwenyewe au mtu mwingine au mazingira yanayokuzunguka.
Mungu hausiki na mambo mengine zaidi ya suala la Afya na uhai. Mungu anahusika na wewe kwa asilimia 10 tuu, ndio maana hata shukrani anataka urudishe 10%.
Hoja ya Mama D inamashiko kwa upande mmoja, na wakati huo huo haina mashikio.
Hakuna niliposema kuwa ugumu wa maisha wa Baba D hutokana na ujinga,suala la ujinga wa Baba D unaonekana katika mtazamo wake kuhusu ccm na si katika ugumu wa maisha alionao.Kwa hiyo unataka kusema zile familia zote zinazo pitia ugumu wa maisha Ma Baba wa hizo familia ni Wajinga kama Mama D anavyomuona Baba D!?
Elimu bure tunanunua kuanzia kalamu,limu,dawati Hadi ekfu kumi ya michango,,hiyo elimu bure yenu ni ipi?Huu upupu muwe mnadanganyana hapo ufipa
Idai kwa nani,ipo madarakani kwa ajili ya nani? Kwani kuomba kazi afu ukaifanya ni hisani au wajibu wake? Hakuna mtoto wa kumdanganyishia pipi,elimu bure lazima iwe full ikiwamo kuwalisha watoto chakula Cha mchana na asubuhi wakiwa shule,Kama mumeshindwa pisheni la hamtaki tutawatoa kwa lazima oktoba.Serkali ikiamua kudai gharama halisi za elimu kwa mwaka ni zaidi ya milion kwa kila mwanafunzi
Ana dalilii ya ukichaa. Ukisoma alivyoandika unaona wazi ana tatizo la kiakili