Ndiyo Hasira iliyopitiliza ifanyavyo kazi - alipiga 1 hasira ikazidi kupanda,akapiga ya 2 ,akajawa na munkari akapiga ya 3,4,5 akakumbuka gharama aliyopoteza kwa miaka yote akamshindilia ya 6,7, na ya 8 ndipo akabaini kumbe hela yake haitorudi tena ndipo akasema Kudadek yote haya yamesababishwa na huyu? akapiga ya 9 na ya 10. Dah! salio likawa limeisha. 😳 😳Ila mwamba Kwa zile risasi za kichwaaa
Hahahah .. Amefyatuaa kama vile hana akili vizur
😁😁😁 Dah utakuwa umeliwa sana nauli,maana umeandika kwa hisia sanaMi naona kafanya sawa kabisa.
Bado wale wanaokula nauli, dawa yao inahitajika mapema sana
Ndiyo Hasira iliyopitiliza ifanyavyo kazi - alipiga 1 hasira ikazidi kupanda,akapiga ya 2 ,akajawa na munkari akapiga ya 3,4,5 akakumbuka gharama aliyopoteza kwa miaka yote akamshindilia ya 6,7, na ya 8 ndipo akabaini kumbe hela yake haitorudi tena ndipo akasema Kudadek yote haya yamesababishwa na huyu? akapiga ya 9 na ya 10. Dah! salio likawa limeisha. 😳 😳
Wanawake chukueni tahadhari pls.
Mi naona kafanya sawa kabisa.
Bado wale wanaokula nauli, dawa yao inahitajika mapema sana
Muongo mkubwa huyo mleta mada bwege tu hilo
Nimesoma kile kiinglish naona kama cha NigeriaSema hii siyo bongo , bongo navyoijua mimi taarifa zingeenea kwenye vyombo vy
otee vya habari
Ujinga mtupu na wewe mpumbavu.kabisa akili hunaHili nalo likatizamwe ....
Haiwezekanii mwanaumee ukamsomeshee mtt wa mtu mwinginee ,ingali una ndugu zako hawanaa ELIMU unayotaka kumpaa ma***ya uliyekutana naye kisaa ny**ge
Sasa narudishaje!! Kwani kwa kipindi tulichokuwa kwenye mahusiano si tulihudumiana!! Acheni hizooo.Alafu pesa ulizozitafuna unazirejeshaje sasa kwa mfano? Maana mla uliwa ukipenda kula jua ipo siku na wewe utaliwa, pesa ulizolipiwa matumizi na ada unazirudisha au ndio kujifanya ujuaji!? Hapo ndio unapojikuta umepigwa na vitu vizito kichwani maana taamaa zimekuponza, umependa pochi utimize matakwa yako ikiwa jamaa haumtaki
Sio fair, na usijaribu kufanya hivyo tutakupoteza
Haijatajwa aisee.Imetokea wapi hiyo?
Kwani ulikuwa unamuuzia?Yan alikuwa analipia huduma hiyo?Sasa narudishaje!! Kwani kwa kipindi tulichokuwa kwenye mahusiano si tulihudumiana!! Acheni hizooo.
Kwahiyo kama hisia nawe zimeisha niendelee tu kujilazimisha kuwa na wewe? Hebu kuweni waelewa.
Je, vijike vinavyoitikia"basi sawa" na vinaingia kwenye mahusiano yenye makubaliano fulani e.g. "ukimaliza shule nitakuoa" unaviweka fungu gani?Ujinga mtupu na wewe mpumbavu.kabisa akili huna
Mwanamke hafanyiwi booking kama tiketi ya ndege au basi
Ukifika wakati wa kuoa .Tafuta wa kuoa ambaye yuko tayari kuolewa anytime na wako kibao
Vidume vyote mpumbavu.kabisa hujifanya vina book.ohh ukimaliza masomo nitakuoa vipumbavu
Kuoa hakuna booking.Ukiwa tayari Tafuta wa kuoa umuoe aliye tayari kuolewa
Andaa Figo hizo 🤣[emoji53][emoji53] duhh!
Inawezekana hii ni chai. Habari hii ina viashiria vingi vyenye utata.Muongo mkubwa huyo mleta mada bwege tu hilo
Kwani nauli sio pesa? Hicho ndicho kinachowaponza. Eti nauli tuNauli tu ndio uue mtu?
Kwa ajili gani?Andaa Figo hizo 🤣
Mtongozajiji akili hana na chenyewe akili hakinaJe, vijike vinavyoitikia"basi sawa" na vinaingia kwenye mahusiano yenye makubaliano fulani e.g. "ukimaliza shule nitakuoa" unaviweka fungu gani?