Fifa wameiandikia TFF azma yao kuiwekea kifungo Tanzania ikiwa 'amri' za serikali kwa TFF hazitafutwa. Nilishangaa kusikia redioni Amos Makala aking'aka kwamba Tenga ndie aliyewaambia FIFA kuandika barua hiyo wakati fifa wenyewe wanadai wamepata habari kuhusu uingiliaji wa serikali kupitia vyombo mbalimbali vya habari nchini. Nadhani Amos Makala ana mengi ya kujifunza kabla ya kujiamini sana.
Makala acha uwoga toa hao tenga walotaka kujiweka milele bora tuongozwe na kamati kuliko hawa wapuuzi wakina tenga
Zaidi ni Tenga na kampani yake!huyu Amosi makala anafikiria kwa kutumia masaburi
una akili sana wewe!hivi huyu tenga nataka kutufanya sote tu mambumbu kwenye uongoi wa soka? huyu mjomba wake NYAMLANI kaandikwa weza usoni??
Ila jamaa=mkuu sana alisema "uwaziri hausomewi"Kwamba Amos Makala ni waziri Tanzania is enough reason ya kutufungia...
Fifa wameiandikia TFF azma yao kuiwekea kifungo Tanzania ikiwa 'amri' za serikali kwa TFF hazitafutwa. Nilishangaa kusikia redioni Amos Makala aking'aka kwamba Tenga ndie aliyewaambia FIFA kuandika barua hiyo wakati fifa wenyewe wanadai wamepata habari kuhusu uingiliaji wa serikali kupitia vyombo mbalimbali vya habari nchini. Nadhani Amos Makala ana mengi ya kujifunza kabla ya kujiamini sana.
Fifa wameiandikia TFF azma yao kuiwekea kifungo Tanzania ikiwa 'amri' za serikali kwa TFF hazitafutwa. Nilishangaa kusikia redioni Amos Makala aking'aka kwamba Tenga ndie aliyewaambia FIFA kuandika barua hiyo wakati fifa wenyewe wanadai wamepata habari kuhusu uingiliaji wa serikali kupitia vyombo mbalimbali vya habari nchini. Nadhani Amos Makala ana mengi ya kujifunza kabla ya kujiamini sana.
Fifa wameiandikia TFF azma yao kuiwekea kifungo Tanzania ikiwa 'amri' za serikali kwa TFF hazitafutwa. Nilishangaa kusikia redioni Amos Makala aking'aka kwamba Tenga ndie aliyewaambia FIFA kuandika barua hiyo wakati fifa wenyewe wanadai wamepata habari kuhusu uingiliaji wa serikali kupitia vyombo mbalimbali vya habari nchini. Nadhani Amos Makala ana mengi ya kujifunza kabla ya kujiamini sana.
Fifa wameiandikia TFF
azma yao kuiwekea kifungo Tanzania ikiwa 'amri' za serikali kwa TFF
hazitafutwa. Nilishangaa kusikia redioni Amos Makala aking'aka kwamba
Tenga ndie aliyewaambia FIFA kuandika barua hiyo wakati fifa wenyewe
wanadai wamepata habari kuhusu uingiliaji wa serikali kupitia vyombo
mbalimbali vya habari nchini. Nadhani Amos Makala ana mengi ya kujifunza
kabla ya kujiamini sana.