Amos makala anataka kutekeleza ajenda zao za huko kwenye kundi lao la friends of simba ndani ya TFF kisa now kawa waziri,jk amtizame huyu jamaa,mi nilijua tu yeye ndio anaempotosha yule mama waziri wa wizara ya michezo,yule mama sio mtu wa mpira hajui taratibu zilivyo,makala ana take advantage ya udhaifu wa yule mama na kupenyeza ajenda za kundi lao la friends of simba ambalo yeye ni mwanachama wake mtiifu wa muda mrefu kujaribu kuiteka TFF kupitia michael wambura,waliwahi kujaribu siku za nyuma lakini tenga akawashida!
Nasikia anataka kutumia mambo ya siasa pia ili kuishawishi serikali nzima ikubaliane na matakwa yake kisa TENGA ni mwanachama muanzilishi na muandamizi wa chadema!
Angalizo:Tusichanganye mpira na siasa kwa mtego wa Amos Makala,jk mmulike huyu jamaa yako.