Amlawiti babu yake

Amlawiti babu yake

Kuna mambo mengine yanayotukia huwa ni ngumu sana kuyaelewa mojawapo ni hili...

Naomba tuanzishe majadala wa kuwa ' shetani yupo au hayupo' tuwaombe Kiranga na mchungaji Eiyer wanogeshe mjadala labda tunaweza tukaelewa hili jambo
 
Last edited by a moderator:
Naomba tuanzishe majadala wa kuwa ' shetani yupo au hayupo' tuwaombe Kiranga na mchungaji Eiyer wanogeshe mjadala labda tunaweza tukaelewa hili jambo

Hahaha!!!

Kama mtu anaamini kuwa Mungu hayupo, sidhani kama anaweza kukubaliana nawe kuwa shetani yupo pia
 
Kuna watu wana usingizi jamani.
yaani mimi mtu akigusa tu nguo niliyolala nayo nashtuka.

Mtani kumbuka huyu ni babu kizee, huenda pia mjukuu wake alikuwa na watu wa kumsaidi kufanikisha azma yake.
 
Hivi lakini ukiangalia......ni nini hii sasa Dr.......

Dr hii kitu inasikitisha sana, kuna watu wapo possessed na evil spirits kiasi kwamba wanafanya viloja kama hivi.
 
apimwe akili
mengine ni magonjwa ya akili
 
Kijana mmoja huko Tanga alimvizia babu yake akiwa amelala na kumlawiti babu kushtuka akakuta mjuu wake anampumulia kisogoni lahaula na kuanza kupiga mayowe.

Taarifa za kitabibu zinasema babu kaumizwa sana sehemu za kutolea taka ngumu na kapata maumivu makali yaliyo ambatana na mshtuko pamoja na mfadhaiko kijana huyo sasa hivi anashikiliwa kituo kimoja cha polisi huko jijini Tanga.

Kijana mmoja, Babu mmoja, Kituo kimoja cha polisi! Hadithi hii kakufundisha nani? Na kakwambia ina maana gani?
 
nawe huon ni ukatili unaandka tu kama hujielew? wakufanyie ww hvo ndo uinjoy bas..mhhhh watu wengne ka misindi tu.
 
Fidel80 taarifa hujaukamilisha. Ni kwamba kijana alijifanya kumwonyesha upendo mkubwa babu yake akamkatia mshiko mapema akijua fika kuwa baada ya hapo kituo chake cha kwanza ni kilabuni. Kumbe ana lake jambo. Usiku akiwa amelala huku amelewa chakari na bibi kalala pembeni, mjukuu akaingia chumbani na kuanza kumlawiti babu yake. Bibi hakuwa na la kifanya bali kupiga kelele tu. Kijana aliingia akiwa na silaha kwani alipomaliza kumlawiti babu yake alimkata sehemu za siri na sikio. Na hivi sasa babu kaishakufa hayupo tena.
 
Last edited by a moderator:
Hata shetani angesikitika kwa alichofanyiwa huyu mzee.
 
Back
Top Bottom