Amkumbatia simba akizani ni mpenziwe

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Jamani Mtwara kuna mambo. Jamaa mmoja katika ngoma za usiku walikubaliana na mpenzi wake wakutane kichakani kwa maongezi ya faragha. Jamaa akaenda kule kichakani akaona kivuli cha mtu kama kakaa chini. Basi bila kujua, akamjia kwa nyuma na kutaka kum-suprise kwa kumkumbatia Kwa kumfanyia mwaaaaa! lo salale, bahati mbaya kumbe mpenzi wake alikuwa bado ngomani na kile kivuli kilikuwa cha simba. Jamaa ili kukumbatia tu na mwaaaa akatutana na manyoya ikawa balaa, simba naye akawa hakulitegemea hilio; ikawa simba anakimbilia kichakani na jamaa anakimbilia ngomaani huku akipiga mayowe ya jamani simba jamani simba.
 
jamaa kweli ana moyo,stil alikua na nguvu za kukimbia...............mi nahisi ningezirai!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom