PreGE2025 Amkeni: Serikali imetoa Tsh. bilioni sita kujenga ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Dar, yatoa magari 2 ya milioni mia sita

PreGE2025 Amkeni: Serikali imetoa Tsh. bilioni sita kujenga ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Dar, yatoa magari 2 ya milioni mia sita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
GARI MOJA LINA THAMANI YA SHILINGI MILIONI 319.5

UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!

SAFARI ZA TRIP TOWN NDANI YA WILAYA YA ILALA.
 
Huku majohe kuna barabara hizo ni balaa!

Ila kuna wakati unakutana na gari la mkubwa wa selikali ya chura kiziwi lenue thamani ya milioni 500 linapita humo humo kwenye mashimo.

Ubaki kujiuliza hizi milioni 500 zinazopita humu kwenye mashimo kwa nini zisingetumika kufukia haya mashimo?
 
Mwananchi anayekula mara moja Kwa siku anaambiwa awe mzalendo😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom