ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,029
- 2,471
Imepanda hivoKuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.
48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah
Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.